Wazee wa International Flights sogea hapa unaweza saidia kwa wazo lako

muulize kampuni gani?
tuanzie hapo..
mzigo umesafirishwa na mtu au umekuja kama parcel..

Bro hizi mambo ndio zipo hivi hivi..
na story ni same same.
mzigo umeshindwa kufika Tanzanja umeishia Kenya..
FASTWAY COURIERS
 
Kuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa.
Mada husika iko hivi.

Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo.

Sasa ishu iliyonileta hapa ni kuwa kampuni aliyochagua destination yake ni Kenya kuwa alikosa flight moja ya kutoka London Hadi Tanzania.

Sasa hapo mzigo wangu naweza pataje na Mimi Niko morogoro.

Natanguliza shukrani kwako wa wazo/ushauri Bora great thinker
Huyo jamaa tapeli, hapo kinachofata utume pesa ya kusafirishia mzigo kuja tz, inawezekana vipi mzigo unaenda dar ukaishia Kenya????

Kama abiria wanafaulishwa iweje iwe mgumu kwa mzigo????

Unataka kuniambia hakuna mizigo inayotoka London kuja tz??? Kama IPO kwanini wa kwako usifike????
 
Mkuu huyo rafiki yako kweli unamjua? Manake scenario yako inafanana kabisa na mataperi waliotaka kunitaperi ealifikiri mi mshamba
shida wakiwa wanaomba msaada wanaficha story ya kweli wanatunga ya kuzugia watu..
Likiwakuta ndio story ya kweli inaletwa

Kuna sister alishanipa mpka kazi ya kumtafutia nyumba ya milioni 100..

kwanza kuna pesa inatumwa atafute nyumba...kumbe story ni tofauti kadanganywa huko kuwa atatumiwa dollar 100,000 Anunua nyumba ili huyo mchumba ake mzungu waje waishi wote..

Kumbe lisela tu li Omary la zanzibar ndio lilikuwa linamchezea mchezo wote..
 
Huyo jamaa tapeli, hapo kinachofata utume pesa ya kusafirishia mzigo kuja tz, inawezekana vipi mzigo unaenda dar ukaishia Kenya????

Kama abiria wanafaulishwa iweje iwe mgumu kwa mzigo????

Unataka kuniambia hakuna mizigo inayotoka London kuja tz??? Kama IPO kwanini wa kwako usifike????
FASTWAY COURIERS kampuni
 
Kuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa.
Mada husika iko hivi.

Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo.

Sasa ishu iliyonileta hapa ni kuwa kampuni aliyochagua destination yake ni Kenya kuwa alikosa flight moja ya kutoka London Hadi Tanzania.

Sasa hapo mzigo wangu naweza pataje na Mimi Niko morogoro.

Natanguliza shukrani kwako wa wazo/ushauri Bora great thinker
Wengi washasema na mm nasisitiza umekutana na tapeli.
Unapangwa utume pesa eti ya kutoa mzigo kenya to tz.
Bila shaka iphone, mac book and some jewels na vipicha juu.
 
FASTWAY COURIERS kampuni
jiongeze na weweee ...
tafuta contacts za fastways waulize...

IMG_20241012_000107.jpg

Hawafiki kenya
 
shida wakiwa wanaomba msaada wanaficha story ya kweli wanatunga ya kuzugia watu..
Likiwakuta ndio story ya kweli inaletwa

Kuna sister alishanipa mpka kazi ya kumtafutia nyumba ya milioni 100..

kwanza kuna pesa inatumwa atafute nyumba...kumbe story ni tofauti kadanganywa huko kuwa atatumiwa dollar 100,000 Anunua nyumba ili huyo mchumba ake mzungu waje waishi wote..

Kumbe lisela tu li Omary la zanzibar ndio lilikuwa linamchezea mchezo wote..
😅
 
Hakuna cha rafiki hapo huyo ni tapeli jichanganye utakuja hapa na kilio hakuna vya bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom