Mipaka ya 1947 alichora nani!?Sasa palestina hata hawana mipaka mnalazimisha iwe taifa kwenye ardhi ya wayahudi huku mkitumia vifo vya wanawake na watoto kutafuta huruma ya dunia
Palestina ina mipaka yake na mipaka inayotambulika ni ya 1947 na hiyo ndio inayotakiwa kurudishwa.
Usijitoe ufahamu hapa.
Ardhi waliodai yao wayahudi Jerusalem walishapatiwa toka 1947 na mipaka ikachorwa.