Wazee wa democracy na wanazi wa USA tuambieni hapa haki ipo wapi?

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
16,288
29,669
Mwezi mei,2024 UN iliendesha zoezi la kuitambua Palestine kama Taifa,nchi 144 kati 193 zilipiga kura ya kuitambua na nchi 25 zilijizuia kupiga.Maajabu ni kuwa kura za hao wote sio chochote hadi pale wale wenye kura ya VETO Russia, USA, UK,France na China ambao ni wanachama wa kudumu wa baraza la usalama wote wakubali.

katika kura hizo wenye kura za VETO,France,Russia na China zilitoa green right,huku UK aki abstain kupiga kura na USA akikataa kwa kura ya VETO.sasa hii ni democracy gani ambayo USA anafanya yeye na mashoga zake?
---

US blocks Palestinian push for full UN membership at Security Council​

The United States has vetoed a widely supported resolution at the UN Security Council (UNSC) that would have paved the way for the state of Palestine to gain full membership at the United Nations.

Twelve countries voted in favour of the resolution, which was brought for a vote during an hours-long Security Council session in New York on Thursday, while two others – Britain and Switzerland – abstained.

After vetoing the measure, the US deputy envoy to the UN, Robert Wood, said Washington believes there is no other path to Palestinian statehood than through negotiations between Israelis and Palestinians.

“We also have long been clear that premature actions here in New York, even with the best intentions, will not achieve statehood for the Palestinian people,” Wood said.

The resolution was widely expected to fail, as the US – Israel’s staunchest ally – holds veto power at the Security Council and had opposed its passage.

The vote comes more than six months into Israel’s bombardment of the Gaza Strip, which has killed more than 33,000 Palestinians and plunged the coastal enclave into a humanitarian catastrophe.

Al Jazeera’s senior political analyst Marwan Bishara said the US veto demonstrated that Washington has a “my way or the highway” policy with regard to Palestinians.

Al Jazeera
 
Sasa palestina hata hawana mipaka mnalazimisha iwe taifa kwenye ardhi ya wayahudi huku mkitumia vifo vya wanawake na watoto kutafuta huruma ya dunia
 
We mjinga tu ..Hiyo inaitwa veto power hata Urusi na China wanayo. Halafu mbona Urusi na China hutumia veto power kupinga maadhimio ya UN kuhusu North Korea? Ulishawahi kuleta thread ya democracy hapa?
 
Ulianza vizuri ila ukaja ukakengeuka mwishoni, umesema "RUSSIA, CHINA, NA FRANCE walionesha Green light. UK hakupiga kura then USA akikataa kwa kura ya VETO. ndiyo demokrasia gani hiyo ya USA na mashoga zake?" Nimenukuu ulichoandika mtoa mada.
Jaribu kufikisha ujumbe uache kufanya itimisho
 
Back
Top Bottom