Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,231
- 50,073
NakaziaDuuh!
Mtoto wa miaka 13, anabeti, anaruka fensi saa 6 usiku kwenda kugegeda🙄
Lazima uwe serious sana kumdhibiti..
Ukimchekea chekea muda si mrefu atakuwa kibaka

Mzazi bila kua mnoko hawa watoto watatushinda. Huyu dogo kwanza yuko form one, halafu shule yao ni mwiko mwanafunzi kua na simu.
Aliporudi nikamkeep busy na mazungumzo, baadae nikamuagiza sehemu mbali kidogo. Chapchap nikafungua mlango wa chumba anacholala, kijasusi nikakamata begi nikaanza kupekua, kwanza nimekuta condom 4, inaonekana zilikua 6 hivo 2 ameshatumia, halafu nimekuta simu na anachat na mabinti tu wanaelezana kwamba hua anaruka fensi, saa sita usiku anaenda mtaani kwa hao wanawake, pia nimeona application za kubet nyingi.
Kwahiyo ni vizuri tukawa makini na hawa vijana wetu, nimefunga begi nikatoka kwa kujikausha sasa nataka atulie kama siku tatu nimuwashie moto hadi ajue Baba yake aliwahi kua muhuni zamani.
Ogopa mzazi anayecheka na wanawe hapo Angalia sana kuna shidaMzazi bila kua mnoko hawa watoto watatushinda. Huyu dogo kwanza yuko form one, halafu shule yao ni mwiko mwanafunzi kua na simu.
Aliporudi nikamkeep busy na mazungumzo, baadae nikamuagiza sehemu mbali kidogo. Chapchap nikafungua mlango wa chumba anacholala, kijasusi nikakamata begi nikaanza kupekua, kwanza nimekuta condom 4, inaonekana zilikua 6 hivo 2 ameshatumia, halafu nimekuta simu na anachat na mabinti tu wanaelezana kwamba hua anaruka fensi, saa sita usiku anaenda mtaani kwa hao wanawake, pia nimeona application za kubet nyingi.
Kwahiyo ni vizuri tukawa makini na hawa vijana wetu, nimefunga begi nikatoka kwa kujikausha sasa nataka atulie kama siku tatu nimuwashie moto hadi ajue Baba yake aliwahi kua muhuni zamani.
Tatizo watu wanataka kushindana na maumbile ya kijana kaisha kuwa mkia wake unamuwasha ndio atasoma kwanza lakini na mkia wake lazima aukidhie haki yakeAnatakiwa asome kwanza hayo atayakuta mbeleni
Huyo atapata ngoma Mapema Sana unabidi kumvisha sumu ili awachukie wanawake muingize katika ibada hata Kama wewe hausali
Asali gani?Kwani ukiwa Mzee ndio haupati ngoma….Embu mwacheni Dogo aendelee kuwazagamua hao mabinti mtoto ameshafikisha umri wa barehe na asali ameshailamba unazani unaweza kumzuia kuacha kupenda wanawake kwanza usikute amerisi kwa baba yake kuanza ngono akiwa mdogo. Muacheni dogo.
Umalaya huo kaunza miaka 13 kijana wa kiume mbeleni huwa hawana nguvu za kiume wengi waanza umri huoAnatakiwa asome kwanza hayo atayakuta mbeleni
Anatakiwa asome kwanza hayo atayakuta mbeleni
Amuozeshe kama awezi asimchunguze sababu nae mkia unamuwashaKaa naye zungumza naye ataacha
Ukimuwashia moto ndo unamchochea
Daah form 1 ni mdogo sana kuanza hizo mambo, but atleast anazingatia matumizi ya kinga...
Hapo mkuu kuna haja ya kumhamisha shule haraka. Either awe day. Au apelekwe shule yenye fensi za kibabe. Hiyo shule haimfai tenaMzazi bila kua mnoko hawa watoto watatushinda. Huyu dogo kwanza yuko form one, halafu shule yao ni mwiko mwanafunzi kua na simu.
Aliporudi nikamkeep busy na mazungumzo, baadae nikamuagiza sehemu mbali kidogo. Chapchap nikafungua mlango wa chumba anacholala, kijasusi nikakamata begi nikaanza kupekua, kwanza nimekuta condom 4, inaonekana zilikua 6 hivo 2 ameshatumia, halafu nimekuta simu na anachat na mabinti tu wanaelezana kwamba hua anaruka fensi, saa sita usiku anaenda mtaani kwa hao wanawake, pia nimeona application za kubet nyingi.
Kwahiyo ni vizuri tukawa makini na hawa vijana wetu, nimefunga begi nikatoka kwa kujikausha sasa nataka atulie kama siku tatu nimuwashie moto hadi ajue Baba yake aliwahi kua muhuni zamani.
Kana 13
Ndio kusema asimamishi endelea kumuita mtotoDaah form 1 ni mdogo sana kuanza hizo mambo, but atleast anazingatia matumizi ya kinga...
Mtu akisha anza kusikia nyege huwezi mdhibiti labda umuozesheDunia inakwenda kwa kasi sana , form one tayari ana gemu za kirafiki na mabinti!!, mixer kubeti!!
Any way nikikuwa namuona mwanagu wa darasa la sita kama mtoto sana , naanza maandalizi ya kibabe kumdhibiti kama ntaweza
nilijua comment ya aina hii lazima iwepooo, khaaaah
Akili ndogo ibada inazuiya ngenyeHuyo atapata ngoma Mapema Sana unabidi kumvisha sumu ili awachukie wanawake muingize katika ibada hata Kama wewe hausali
Maji hufuata mkondo tulia😂Mzazi bila kua mnoko hawa watoto watatushinda. Huyu dogo kwanza yuko form one, halafu shule yao ni mwiko mwanafunzi kua na simu.
Aliporudi nikamkeep busy na mazungumzo, baadae nikamuagiza sehemu mbali kidogo. Chapchap nikafungua mlango wa chumba anacholala, kijasusi nikakamata begi nikaanza kupekua, kwanza nimekuta condom 4, inaonekana zilikua 6 hivo 2 ameshatumia, halafu nimekuta simu na anachat na mabinti tu wanaelezana kwamba hua anaruka fensi, saa sita usiku anaenda mtaani kwa hao wanawake, pia nimeona application za kubet nyingi.
Kwahiyo ni vizuri tukawa makini na hawa vijana wetu, nimefunga begi nikatoka kwa kujikausha sasa nataka atulie kama siku tatu nimuwashie moto hadi ajue Baba yake aliwahi kua muhuni zamani.
Haya mambo ya balehe akiyasikia kutoka kwako mzazi , ni tofauti kabiza akiyasikia kwa mtuMtu akisha anza kusikia nyege huwezi mdhibiti labda umuozeshe