Wazazi: Disco toto ni hatari, hiki ndio nilikiona Christmas hii

Sasa mnawaruhusu watoto wajishikie remote na vipindi vingi kwenye TV n ngono na ulevi mnategmea nn charity begins at home
 
Disco toto ni agenda kamili ya Illuminati ya kuharibu madili ya watoto wetu.Naomba niwaombe wazazi wasiruhusu watoto wao kwenda kwenye ujinga huu.Tuwe makini na malezi ya watoto wazazi wenzangu.There are plans to destroy our kids,this is just one of the plans.
Sikukuu hii nilienda mkoa mmoja wa pembezoni. Hotel niliyofikia INA ukumbi mkubwa, wakaandaa disco Toto.

Watoto wa kike na wa kiume age kati ya 12 years hadi 18 wanakunywa soda wanachanganya na viroba.

Watoto wengine wanavuta sigara, vitoto vidogo vinanyonyana ndimi na kushikanashikana kingono, vinacheza miziki kingono, nilisikitika sana.

Ni vyema wazazi tujue wanetu wanakokwenda, wanaenda na nani na wanafanya nini
 
Mkuu embu nyoosha maelezo, ulisikitika au ulivionea wivu??
 
Sikukuu hii nilienda mkoa mmoja wa pembezoni. Hotel niliyofikia INA ukumbi mkubwa, wakaandaa disco Toto.

Watoto wa kike na wa kiume age kati ya 12 years hadi 18 wanakunywa soda wanachanganya na viroba.

Watoto wengine wanavuta sigara, vitoto vidogo vinanyonyana ndimi na kushikanashikana kingono, vinacheza miziki kingono, nilisikitika sana.

Ni vyema wazazi tujue wanetu wanakokwenda, wanaenda na nani na wanafanya nini
DISCO TOTO PALE WAZO CEMENT WATOTO WALIPORWA MPAKA MASHATI, SIMU, VIATU,MIKOBA NK. KUNA WATU WALIJIANDAA KUPORA INGAWA NI KARIBU NA KITUO CHA POLICE WAZO.
 
Sipendi watu aina yako kama KAKA, BABA, AU MJOMBA, ULICHUKUA HATUA GANI?, Ulishindiwa hata kupiga simu polisi waje washuhudie ili baadae kuwe na tahadhari ya kwamba hakuna kuuzwa pombe disco toto.? baada ya miaka 10 Wakijapatikana Majambazi na Machangudoa, tunatupia lawama kwa serikali, wakati wewe ulishindwa kuchukua hatua ndogo tu ya kupiga simu polisi, umekuja kutueleza sie tufanyeje?
 
Back
Top Bottom