Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,203
- 157,376
global force at the sometimes hushinda nguvu iliyopo!lakini si walikataza disco toto? ilikuwaje wakweka disco toto
duh basi sawaglobal force at the sometimes hushinda nguvu iliyopo!
Disco toto mara moja hama mbili tu kwa. unataka nikuamini ndo wamejifunzia hapo kwenye disco? hapo wamekuja tu kuendeleza wanavyo vifanya hama kuviona mitaani.Sikukuu hii nilienda mkoa mmoja wa pembezoni. Hotel niliyofikia INA ukumbi mkubwa, wakaandaa disco Toto.
Watoto wa kike na wa kiume age kati ya 12 years hadi 18 wanakunywa soda wanachanganya na viroba.
Watoto wengine wanavuta sigara, vitoto vidogo vinanyonyana ndimi na kushikanashikana kingono, vinacheza miziki kingono, nilisikitika sana.
Ni vyema wazazi tujue wanetu wanakokwenda, wanaenda na nani na wanafanya nini
Hakika MkuuDisco toto mara moja hama mbili tu kwa. unataka nikuamini ndo wamejifunzia hapo kwenye disco? hapo wamekuja tu kuendeleza wanavyo vifanya hama kuviona mitaani.
Wapi huko?Wazazi wawe tu makini na kujua watoto wao wanaenda sehemu gani ikiwezekana waende nao au washereheker wakiwa nyumbani.
Huku kwetu tuna msiba mtoto wa miaka 12 kafa baada ya kuingia kwenye sweaming pool la watu wazima.
Wamejaribu kumwokoa ila ndo hivo alikuwa keshakunywa maji kupelekwa hospitali tiyari keshakufa.
Hiyo imetokea siku ya x_mas
ArushaWapi huko?
Pole kwa ndugu na jamaa
Kula tano miaka 12-18...aaha washakolea chumvi hao...Disco toto mara moja hama mbili tu kwa. unataka nikuamini ndo wamejifunzia hapo kwenye disco? hapo wamekuja tu kuendeleza wanavyo vifanya hama kuviona mitaani.