Malezi ni changamoto kubwa kama wazazi wenzetu wanafanya hivyo ukweli haitasaidia,mtoto wa kike utamkagua hivyo je wakiume utamkagua nini maana wote wanapitia changamoto za ukuaji,hapa la msingi ni kuwaelimisha na kuwakumbusha mara kwa mara kuhusu ukuajia,mabadiliko ya mwili na pia hatari ya kujiingiza katika ngono,jambo lingine ni kuwasaidia watoto wawe na hofu ya Mungu kuwakumbusha kuwa miili yao nni hekalu la roho mtakatifu na lolote linalofanyika kinyume na mapenzi ya Mungu ni kuchafua hekalu na kukaribisha laana,mikosi,balaa,dhiki,hofu na taabu zisizoisha tuziombee familia nasi wazazi tubadilike maana hata sisi wakati mngine ni milango ya watoto kujiingiza kwenye shida hizi.