Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 128,661
- 154,805
Mmmmhhh poleni kwa ulezi aiseeh, wakati ni mgumu.
Haya, malezi mema.
Niko 40 plus years hivo piga miaka hiyo niliingia chuo mwaka gani na nilianza darasa la kwanza na miaka 6.
Kasie.
Unaona sasa... makadirio wewe ni wa 70... Zama hizo adabu ya hali ya juu likuwepo sana tu... Zama za kuanzia 90, ni balaa na aibu...
Wape pole wale wanaolea, siyo mimi... Nasema jinsi vitoto vya siku hizi vilivyo...