Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,268
- 13,095
Unapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda.
Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa maana ya kuchelewesha kumwaga au kuongeza muda wa kujamiiana.
Kazi yake ya msingi ni kuwasaidia wanaume kufikia na kudumisha kusimama kwa kuboresha mtiririko wa damu kwenye uume, ambayo hushughulikia shida ya erectile dysfunction yani kutoweza dindisha kisawa sawa