Wakuu,
Kuna kituko cha kufungia mwaka huku
Pia soma: LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Watu wenye uhitaji Maalumu leo wamejitokeza katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kufuatilia mambo makubwa aliyowafanyia kama vile kuwapa vifaa wezeshi, kuboresha Elimu, Afya, kuwapa mikopo n.k wamemchangia pesa zaidi ya Tsh Milioni moja kwa ajili ya kuchukulia fomu ya kugombea tena Urais mwaka 2025 na kumuahidi kura Milioni 4.
Soma Pia:

- Kuelekea 2025 - Wakuu wa shule kumchangia fedha ya kuchukua fomu ya Urais Rais Samia 2025, hiki ni "kituko" cha kufungia mwaka
- Makundi mbalimbali yajipanga kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais 2025
- Vijana kumchukulia Fomu ya Urais Rais Samia 2025
- Kuelekea 2025 - UWT yamchangia Samia Suluhu Hassan Tsh milioni 2 kwa ajili ya kuchukulia fomu ya urais ifikapo mwaka 2025