Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,862
Eti uende dukani useme "nataka robo tatu" bara ni wajinga sana .Yote fasaha,robo zikiwa mbili ni nusu
Eti uende dukani useme "nataka robo tatu" bara ni wajinga sana .Yote fasaha,robo zikiwa mbili ni nusu
Ni kweli mkuu, lakini kwa Sasa wanatumia wengi neno marikitiSoko(suuk) ni neno la kiarabu,wazanzibar wanalijua neno soko,walitumia kabla mwingereza hajaenda zenj,marikiti(market) ni la muingereza
Nimelitumia Sana Hilo neno robo tatu huko tabora,ni sahihi,hakuna shida,ukipima robo robo tatu unapata nusu na roboEti uende dukani useme "nataka robo tatu" bara ni wajinga sana .
Sio sahihi robo tatu inatumika kweny maumbo sio vipimo vya nafaka ...Hakuna jiwe la robo tatu la kupimia unga .Nimelitumia Sana Hilo neno robo tatu huko tabora,ni sahihi,hakuna shida,ukipima robo robo tatu unapata nusu na robo
Hakuna jiwe la nusu na robo la kupimia ungaSio sahihi robo tatu inatumika kweny maumbo sio vipimo vya nafaka ...Hakuna jiwe la robo tatu la kupimia unga .
Akili ya mtu wa Pwani kwenye ubora wakoo ๐ ๐คชMama yako mthenge๐ ๐ ๐ mnuka chupi!
Sijawahi kuona ,mawe yale yapo kwa size ukitaka nusu na robo anaweka mawili nusu na lile dogo kabisa.Hakuna jiwe la nusu na robo la kupimia unga
Meno ya kuoza ,kuoga tatizo kaa pembeni hata kuandika mitihani ๐๐ ๐Akili ya mtu wa Pwani kwenye ubora wakoo ๐ ๐คช
Yan hapo kwa huko Pwani unaonekana ni bonge la mjanja ๐ na awamu hii mihogo imeenda na maji sjui mtatamba na nn ๐ ๐
Watu wa robo na nusu ๐ watuu wa ๐
Hayo ni mawe mawili,moja la nusu jingine la robo,kwenye la nusu Kuna robo mbili,ukiongeza na Hilo la robo inakuwa robo tatuSijawahi kuona ,mawe yale yapo kwa size ukitaka nusu na robo anaweka mawili nusu na lile dogo kabisa.
Kwetu tunauza duka tangu naondoka miaka ya 2006 ,labda mizani za sasa.
Kile kidogo kabisa robo tumefunga kabisa pale ,hilo jiwe sijawahi kuona.
Wali ni kitu kingine na ubwabwa ni kitu kingine, ubwabwa ni mapishi kama Wali sema unaekwa maji mengi unatota, mara nyingi hupikiwa mama waja wazi to waliojifungua. Pwani maneno yote mawili yanatumika.ZANZIBAR SWAHILI WORDS
wewe - weye
majukumu - kazi mkononi
funga mlango - tia Pete
usiniudhi - nitolee hashuo
nyanya - tungule
bubble gum - ubani
wali - ubwabwa
mjomba - ammy
sokoni - marikiti
Ahsante Sana mkuu, kwa kushiriki na kutoa elimu panaWali ni kitu kingine na ubwabwa ni kitu kingine, ubwabwa ni mapishi kama Wali sema unaekwa maji mengi unatota, mara nyingi hupikiwa mama waja wazi to waliojifungua. Pwani maneno yote mawili yanatumika.
Dada hv ww ndio wakuniambia mm kuandka kwangu ni tatzo !!๐๐ kwamba hta kuandka ni mitihan ๐๐ sjui mitihan mingap ๐Meno ya kuoza ,kuoga tatizo kaa pembeni hata kuandika mitihani ๐๐ ๐
Sasa hapo kuweka mawili ndio watu wanatenganisha kuita nusu na robo ,tuje sasa anayesema robo tatu ๐ ๐ ๐ ๐ ndio nasikia leo tangu nazaliwa.Hayo ni mawe mawili,moja la nusu jingine la robo,kwenye la nusu Kuna robo mbili,ukiongeza na Hilo la robo inakuwa robo tatu
Ubwabwa ni bokoboko unakuwa umeloa ila wali umekaza ...Ubwabwa wanapewa watoto yaani mfano anapika pale kabla hajafunikia ni tope anapewa .Ahsante Sana mkuu, kwa kushiriki na kutoa elimu pana
Sikiliza kwanza wewe kenge wa bara! Ugali unaweza kugawa robo tatu ukiwa solid kwa kukata ๐ ๐ kama slices ila unga huwezi kupima kwa robo tatu ,una mengi ya kujifunga ila anza na kuoga kwanza.Dada hv ww ndio wakuniambia mm kuandka kwangu ni tatzo !!๐๐ kwamba hta kuandka ni mitihan ๐๐ sjui mitihan mingap ๐
Watu wa Pwani buanaa ๐ hapo kanajiona kajanjaa ๐ kumbe kachumbaa tuu.
๐ ๐ Waambie hao "Mwinyi" Kujikuta wajuaji nangali wali nazi wenyewe wametoka kuujua majuzi.Unalazimisha ,mimi najua kiswahili kushinda aliyekuzaa ambaye hata kusoma hajui๐ ๐ ๐ .
Watu wa pwani hatutaki shobo na wanuka midomo .!
Hakuna mtu kutoka Pwani amewah kuwa akili ndio vilaza wa elimu nchi hii, watu wa Pwani kichwan ni weupe pee.Sasa hapo kuweka mawili ndio watu wanatenganisha kuita nusu na robo ,tuje sasa anayesema robo tatu ๐ ๐ ๐ ๐ ndio nasikia leo tangu nazaliwa.
Vipimo kutokana na mawe mfano kilo mbili na nusu hapo umeweka jiwe na kilo mbili na nusu.
Sasa hawa wa robo tatu wametoa wapi ,wakati hivyo ni vipimo vya kweny maumbo ..Mbona kweny mafuta tunatumia lita sio sio kilogram.
Watu wa bara wanahitaji elimu sana kila sehemu kuna vipimo vyake.๐ ๐ ๐
Inaonekana wewe ndio hujui vizuri kiswahili.Licha ya kiswahili kuzaliwa katika pwana ya Afrika mashariki, na kuzungumzwa zaidi Tanzania kuliko Mataifa yote. Kiswahili fasaha bado ni changamoto katika ukanda wa pwana ya Tanzania na visiwa vya Zanzibar.
Leo katika harakati zangu za pimbi katika mkoa wa pwani, nikapita katika duka moja la Mpemba hili kununua mahitaji yangu. Kwanza nikauliza kuna dawa ya meno, akanijibu ndio zipo, ila rafudhi imekaa kizanzibari fulani hivi, nikajua huyu mpemba. Akanitajia bei ya bidhaa niliyokuwa nahitaka, zilikuwepo bei za bidhaa tofauti tofauti na mbili wapo zilipishana utofauti wa bei ya shilingi 100, nikauliza kwa nini dawa hizi za kampuni moja zipishane utofauti wa 100.
Jamaa akazungumza kiswahili ambacho mimi binafsi nilikuwa sielewi nini anazungumza, niliona ana bwabwaja tu, kikugha si kilugha kiswahili si kiswahili huku mimi nikinasa maneno machache tu. Sentensi pekee niliyoinasa ni "Ndio maana watanzania mkienda Kenya mnawekwa mahabusu hamsikilizwi, polisi wanakwepa kuzungumza nanyi kiswahili" moja kwa moja nikajua jamaa kiswahili anapata tabu sana kizungumza kwa ufasaha.
Wazaramo na makabila mengine ya pwani wanapuyanga sana kwenye kiswahili;
Mfano: Robo tatu, wao wanaita nusu na robo ambacho si kiswahili fasaha.
Robi tatu kweny unga? Hakuna weny akili kutoka bara tangu nchi iumbe ,wakati tunatafuta uhuru nyie hata kuoga hamjui๐ ๐ ๐ .Hakuna mtu kutoka Pwani amewah kuwa akili ndio vilaza wa elimu nchi hii, watu wa Pwani kichwan ni weupe pee.
Kwenye 1kg kuna robo 4 ,unaposema robo 3 unakuwa umeeleweka Labda kilo zenu nyie zina robo ngap huko!?
Hyo nusu na robo huku kwetu ni mtoto mdgo anaejifunza kuongea ndio anaweza kuongea hvo, yn mtu mzima kbs ety robo na nusu Kwan haujui kwenye 1kg kuna 1/4 ngap kha.