Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 371
Licha ya kiswahili kuzaliwa katika pwana ya Afrika mashariki, na kuzungumzwa zaidi Tanzania kuliko Mataifa yote. Kiswahili fasaha bado ni changamoto katika ukanda wa pwana ya Tanzania na visiwa vya Zanzibar.
Leo katika harakati zangu za pimbi katika mkoa wa pwani, nikapita katika duka moja la Mpemba hili kununua mahitaji yangu. Kwanza nikauliza kuna dawa ya meno, akanijibu ndio zipo, ila rafudhi imekaa kizanzibari fulani hivi, nikajua huyu mpemba. Akanitajia bei ya bidhaa niliyokuwa nahitaka, zilikuwepo bei za bidhaa tofauti tofauti na mbili wapo zilipishana utofauti wa bei ya shilingi 100, nikauliza kwa nini dawa hizi za kampuni moja zipishane utofauti wa 100.
Jamaa akazungumza kiswahili ambacho mimi binafsi nilikuwa sielewi nini anazungumza, niliona ana bwabwaja tu, kikugha si kilugha kiswahili si kiswahili huku mimi nikinasa maneno machache tu. Sentensi pekee niliyoinasa ni "Ndio maana watanzania mkienda Kenya mnawekwa mahabusu hamsikilizwi, polisi wanakwepa kuzungumza nanyi kiswahili" moja kwa moja nikajua jamaa kiswahili anapata tabu sana kizungumza kwa ufasaha.
Wazaramo na makabila mengine ya pwani wanapuyanga sana kwenye kiswahili;
Mfano: Robo tatu, wao wanaita nusu na robo ambacho si kiswahili fasaha.