mind ur bussness
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,050
- 741
Maji c lazma ununue visima vipo vya kutosha uwezo wako.Vitu gani unavioata bure huko kwenu
Usafiri co lazma daladala hata
cowcart ama horsecart niusafiri.
Chakula nacho unaweza kula hata maembe miti ipo tuu na hakuna wa kukuuliza Na maisha yakasonga.
Vila raha bhana stress huku ujitakieee