Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 48,957
- 151,032
- Thread starter
- #21
Nimetoa link kwahiyo ulitakiwa ufuatilie upate undani wa habari yenyewe.OOh, Mkuu kumbe wewe ndiye uliyetuchanganya. Kwa maana hiyo Mkuu wa Kitengo cha Sheria Mamlaka yake ya nidhamu ni Bodi ya PPRA. Hapo nakuelewa.