Watu wa mikoani hawapajui hapa

asilimia kubwa ya wakazi wa dar wametoka mikoani ila sasa shida ni pale kaishi dar,mwezi mmoja au miaka miwili tayari anajiita mzaliwa wa dar na kujiona mjanja hadi anasahau alikotoka
Nina jamaa zangu ktk harakat za kutafuta maisha wamefika dsm. Dah! Yaan mpaka kero kila wanapopita lazma warushe picha whatsapp
 
Hahaha wakipata ma baby wa kitanga watatulizwa hizo simu watahonga kabisa
Nina jamaa zangu ktk harakat za kutafuta maisha wamefika dsm. Dah! Yaan mpaka kero kila wanapopita lazma warushe picha whatsapp
 
Ukiwa wa mkoani lazima upajue hapo.
Safari za mikoani zinaanzia hapo
 
Hivi dar ni mbinguni?. Hivi dar ni ahelaa?. Nashangaa sana. Robo tatu watu wote wa dar ni kutoka mikoani but wa dar ndo hamkujui mikoani kulivyo.
 
asilimia kubwa ya wakazi wa dar wametoka mikoani ila sasa shida ni pale kaishi dar,mwezi mmoja au miaka miwili tayari anajiita mzaliwa wa dar na kujiona mjanja hadi anasahau alikotoka
Cc: Daudi
 
Alafu wewe mfilisti uliingia mjini usiku na gari la mifugo
Saivi umekaa Kiembe Mbuzi kwa ndugu yako unajifanya mjanja eti
 
Back
Top Bottom