abuu muhammad
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 161
- 39
Weka Namba ya aitel money uchangiwe ukanunue turubai ujenge hema
Asante sana dada,kuna watu wanachukulia hili jambo kirahisirahisi kwa kuwa sio wao,mungu analipa hapahapa tu,asante kwa kunipa moyo dadaPoleni sana, Mungu yupo pamoja nanyi hatawaacha muadhirike
Uza hyo smart4n,ongezea hela kidogo upate kodi ya miez 6,uhame na familia yako huku unajipanga cha kufanya kaka!!pole
Asante mkuu ila ujue ipo siku na wew yatakukuta tu matatizoHakuna jinsi,Hapa Kazi tu.Ni lazima mu gure na wala hakuna sababu ya kumkumbuka JK.Kama mbwai mbwai tu...nendeni mkapige kambi kwa Mbunge wenu wengine kwa diwani
Maneno yako ni sahihi kabisa na ninakubaliana nayo.sasa tufanye nini tunusurike..????Inatubidi tuwe wakweli na tusiuze utu wetu kwa gharama ndogo.Elimu...Elimu....ElimuAsante mkuu ila ujue ipo siku na wew yatakukuta tu matatizo
Haya bhana ipo siku utanielewa tuManeno yako ni sahihi kabisa na ninakubaliana nayo.sasa tufanye nini tunusurike..????Inatubidi tuwe wakweli na tusiuze utu wetu kwa gharama ndogo.Elimu...Elimu....Elimu
Wakati mnajenga palikuwa tambalare?Waungwana, leo naandika kichwa kikiwa kinaniuma sana na sina raha hadi nimepungua kwa sababu ya mawazo, hata vidonda vyangu vya tumbo vimeanza tena, yaani huyu Magufuli bora tusingemchagua kabisa. Kama ni namba tunaisoma kwa sana tu, hivi ingekuwa ni yeye hii hali jamani kweli angefurahia?
Leo hii tunaambiwa tarehe 5 mwisho wa kuishi kwenye nyumba zetu, hivi anajua adha na mateso tunayoyapata sie?? Leo hii mtu unaambiwa uhame na mahali pa kwenda huna, watoto wanahitaji ada, uniform, madaftari n,k na pesa huna hivi kweli ni haki?
Kuna wengine wamezoea kuishi nyumba za mabondeni, sio kwamba wanapenda kupanga huku bali kipato chao hakiruhusu kuishi ma kupanga sehemu nzuri, asilimia kubwa ya wapangaji wa nyumba za mabondeni ni makapuku wa kutupwa, yaani huku vyumba ni elfu 20 hadi 25, kwa hiyo mtu nikiwa na laki na nusu naishi miezi sita, laki tatu naenjoy mwaka mzima, sasa leo hii vyumba vinabomolewa tutaishi wapi sie tuliozea kupanga nyumba za bei nafuu? Hivi hii serikali inamuangalia mtu wa hali ya chini kweli?
Yani leo tar 2 na 5 ni mwisho nawaza hadi nashindwa ntaishije na hawa watoto wawili jaman. Wenye nyumba wao mnadai wamepewa viwanja, je vipi kuhusu sisi wapangaji ambao tumezoea nyumba za bei chee kutokana na kipato chetu kidogo? Safari hii tutaumwa wengi sana kwa sababu ya serikali ya Magufuli lakini pia Magufuli sie hatukukuchagua ili ubomoe nyumba zetu bali tulihitaji utuboreshee maisha yetu na je ni kweli huyu Rais hajaona kitu kikubwa cha kuanza nacho hadi aje abomoe nyumba zetu wajamaneni??
Mimi huu mwaka wa 3 naishi bondeni na sijawahi kuona maji yameua kabisa, maana sie ikija mvua huwa tunahama na ikiisha tunarudi, maji yakijaa huwa tuanayapisha na mvua ikikata huwa tunarudi kusafisha vyumba vyetu na kuishi, bora ya Kikwete kuliko Magufuli
Nimekuelewa na kama ungenisoma in between the lines ungenielewa vizuri saana.Haifurahishi kabisa.Haya bhana ipo siku utanielewa tu
Mkuu kama hujui ni bora ukauliza,hivi unajua kuna nyumba zingne hazipo kwenye mabonde na zinabomolewa? Ila sawa furahi mana hayajakupata wewe,ushuri kidogo tu,fanya kimfano ungepata wewe hili tatizo how could u feel?Wakati mnajenga palikuwa tambalare?
Toa mfano wa eneo nyumba zinapomolewa kimakosa?Mkuu kama hujui ni bora ukauliza,hivi unajua kuna nyumba zingne hazipo kwenye mabonde na zinabomolewa? Ila sawa furahi mana hayajakupata wewe,ushuri kidogo tu,fanya kimfano ungepata wewe hili tatizo how could u feel?
kwanza nyie hamjamchagua magufuli. ndio tabu zenu za kujitakia zimewafanya kuchukia ccm. watu wanaacha kilimo vijijini wanakuja mjini kuishi mabondeni maisha ya dhiki kuliko kilimo vijijini.Waungwana, leo naandika kichwa kikiwa kinaniuma sana na sina raha hadi nimepungua kwa sababu ya mawazo, hata vidonda vyangu vya tumbo vimeanza tena, yaani huyu Magufuli bora tusingemchagua kabisa. Kama ni namba tunaisoma kwa sana tu, hivi ingekuwa ni yeye hii hali jamani kweli angefurahia?
Leo hii tunaambiwa tarehe 5 mwisho wa kuishi kwenye nyumba zetu, hivi anajua adha na mateso tunayoyapata sie?? Leo hii mtu unaambiwa uhame na mahali pa kwenda huna, watoto wanahitaji ada, uniform, madaftari n,k na pesa huna hivi kweli ni haki?
Kuna wengine wamezoea kuishi nyumba za mabondeni, sio kwamba wanapenda kupanga huku bali kipato chao hakiruhusu kuishi ma kupanga sehemu nzuri, asilimia kubwa ya wapangaji wa nyumba za mabondeni ni makapuku wa kutupwa, yaani huku vyumba ni elfu 20 hadi 25, kwa hiyo mtu nikiwa na laki na nusu naishi miezi sita, laki tatu naenjoy mwaka mzima, sasa leo hii vyumba vinabomolewa tutaishi wapi sie tuliozea kupanga nyumba za bei nafuu? Hivi hii serikali inamuangalia mtu wa hali ya chini kweli?
Yani leo tar 2 na 5 ni mwisho nawaza hadi nashindwa ntaishije na hawa watoto wawili jaman. Wenye nyumba wao mnadai wamepewa viwanja, je vipi kuhusu sisi wapangaji ambao tumezoea nyumba za bei chee kutokana na kipato chetu kidogo? Safari hii tutaumwa wengi sana kwa sababu ya serikali ya Magufuli lakini pia Magufuli sie hatukukuchagua ili ubomoe nyumba zetu bali tulihitaji utuboreshee maisha yetu na je ni kweli huyu Rais hajaona kitu kikubwa cha kuanza nacho hadi aje abomoe nyumba zetu wajamaneni??
Mimi huu mwaka wa 3 naishi bondeni na sijawahi kuona maji yameua kabisa, maana sie ikija mvua huwa tunahama na ikiisha tunarudi, maji yakijaa huwa tuanayapisha na mvua ikikata huwa tunarudi kusafisha vyumba vyetu na kuishi, bora ya Kikwete kuliko Magufuli
Amnesty international na human rights groups wanabidi waingilie kati hili swala.
Pita pale morroco hotel uone nyumba zingine zipo juu zinabomolewa,nenda suna kule uone pia,nenda hadi kigogo uone,yani kuna nyumba zipo juu ila zinabomolewaToa mfano wa eneo nyumba zinapomolewa kimakosa?
Unafahamu wanatumia vigezo gani kuzibomoa? Uliza kwanza kuliko kulalamika hakuna serikali isiyowapenda wananchi wake ndo maana hata kujinyonga ni kosa fanya utafiti kwa nini hizo zinabomolewa ulete majibu kama wanaonewa pia usisite kusema kama ulivyo sema sasa kila la kheriPita pale morroco hotel uone nyumba zingine zipo juu zinabomolewa,nenda suna kule uone pia,nenda hadi kigogo uone,yani kuna nyumba zipo juu ila zinabomolewa