Mtumwa kazini akilinda maslahi ya Bwanake..mwingereza.Hulka ya kuongea kiswanglish Dar inakua kwa kasi sana,mbaya zaidi ni pale mtu anataka kubwabwaja katika suala la kitalamu zaidi.
Wadada nao ndo komesha utasikia,u know...,i was like kwamba..,yani kero tupu.Mabishoo nao ndo kabisaaa! Wanachafua lugha ya malkia.
Kama ukiamua kuchana yai chana usichangane na kibantu.
Kule kagera mtoto akijua kuongea kiswahili vizuri anapesa uongozi
Ni kweli huwezi kunisoma kwani ulitegemea nikuunge mkono, fagilia kiswahili na sio kiingerezahujasomeka