Sasa tabu inatoka wapi hapo?Vijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage.
Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover
Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k
Dar mbona kila kitu tabu?
Nimejikuta nimebaki na bumbuwazi.
Dar is overratedVijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage.
Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover
Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k
Dar mbona kila kitu tabu?
Umeishia darasa la ngapiMaharage ni protini kama ilivyo nyama tu mkuu,
Au shombo ya nyama ndiyo inakuzuzua?
Ni chakula pia mbona?Ukigonga Balimi bia yetu huku Igunga asubuhi tumbo linahitaji mchuzi. Sasa nyie huko Maharage mnayageuza supu !
Unakataa maharage hayana protini au unataka kusemajeUmeishia darasa la ngapi
Vijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage.