Watu ninaotamani kuwaona na kuwafahamu japo kidogo tu

Kana Mshana Jr. mi nakutamani Sana Tata siku mocha Tuonane Tukae tuongee kidogho Mura.
 
Akhsante Mkuu Kwa Kuonyesha Nia Kuwa Unatamani Unifahamu au Unijue Kwani Nilikuwa Sijajua Kama Nina Umuhimu Huo Kwako au Kwa Wengine. Karibu Sana Kwangu Mkoani GISENYI Nchini Rwanda Uje Kunywa Maziwa Na Asali. Nisalimie Mno Huko Kwenu Tanzania Na Sijui Ni Lini Nitakuja Tena Baada Ya Kutoka Huko Miaka 11 Iliyopita!

mh!
 
Hahaha UncleBen vipi bwana mbona unaniangushaa? Wapi nimesema wewe ndiye GENTAMYCINE?

Hahahah.. TMA nilifunzwa ujasusi kidogo
Hahaha hapana aisee unaiangusha TMA bana ,sijaelewa hiyo comment ya kwanza ulipo niweka kwenye group moja na Gentamycine ,clever bright Nk ,ndio maana nikakuuliza maana yako ni kwamba mimi ndie Gentamycine ??

Rudi bana CSC kidogo ukajipige msasa
 
Hahaha hapana aisee unaiangusha TMA bana ,sijaelewa hiyo comment ya kwanza ulipo niweka kwenye group moja na Gentamycine ,clever bright Nk ,ndio maana nikakuuliza maana yako ni kwamba mimi ndie Gentamycine ??

Rudi bana CSC kidogo ukajipige msasa
Mjombaaa.. Mada inazungumzia watu unaowakubali, Mimi nikaweka hizo ID za Kutukuka Nikiamini ndio wanaonivutia zaidi Mjombaaa

Hakuna jingine Mjombaa
 
Napatikana sana mkuu, wee nicheki tu PM, nina moods zote, ulizowahi kuziona na zile ambazo hujawahi kuziona, but what l assure ni mambo matatu:-
1. Hutojuta
2. Hutoisahau siku ya kuniona
3. Utaona muda tulio kaa ni mfupi mno.
Karibu sana
 
mshana jr wewe ni jichawi jikubwa, umeniroga, tangu tumeonana sijawahi kuboreka na kuchoshwa na nasaha, hekima na busara zako. Maarifa yako, elimu na taaluma, upendo na ukarimu wako vinanifanya nitamani nitamani kufuata nyayo zako. You are my role model and my Mentor.
l salute you
 
Back
Top Bottom