Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,764
- 2,347
- Thread starter
- #41
Mkuu unasahau kuwa kuna wazanzibari/wapemba wengi Zaidi Temeke kuliko sehemu nyingine yoyote.Mimi nakubaliana nawew kuwa laki tatu wa Temeke au hata miliuoni tatu hawawezi kuiyumbisha Tanazania, lakini watu hata laki moja wa Zanzibar wanaweza kuiyumbisha Tanzania.
Kwa lugha nyengine untaka kusema kuwa watu laki tatu wa Temeke hawawezi kuiyumbisha Tanganyika?
Kuna tofauti kubwa kati watu wa Zanzibar na TEMEKE. Uelewe kuwa heshima ya mzanzibari mmoja ni sawa na watanganyika 49 (1:49)
Hivi Nyerere alipomshinikiza Karume kuunganisha nchi mbili , hakujua kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na watu kidogo? . Nakupa wosia kuwa madhali kashindwa Nyerere kuvimeza visiwa hivi, hatotokea mtanganyika yeyote atakaeweza!
Kelele za mlango zitaendelea kuwepo lakini haztotunyima usingizi. Kijiba cha moyo kimekukwameni kabakaba!
Na hao watakuwa wa kwanza kuonja joto ya jiwe, nawafahamu kina Mazrui na biashara zao za magari.
Usichezee kuti linalokufunika jua.