Hivi abiria na madereva watajifunza lini??!! Kila siku tunawaambia maji yanayotembea hata yakiwa usawa wa ugoko usijaribu kuyavuka na gari lakoWatu sita wamekufa maji na wengine 2 wamejeruhiwa huko Mkoani Katavi.
Tukio hilo limetokea baada ya gari lao kutumbukia Mto Koga wakati wakijaribu kuvuka daraja la mto huo.
Tena fala kupita Nyumbu mkuu. Daaah...Yaani amekifuata kifo kabisa.Huyo dereva fala sana.
Wenzio waliokuwa wanasubiri ni wajinga?
Kuna haja kubwa kwa serikali kutoa elimu ya haraka kuhusu kuendesha magari kwenye maji yanayokinzana na mwelekeo wa gari pia na kina kisichojulikana urefu wakeWatu sita wamekufa maji na wengine 2 wamejeruhiwa huko Mkoani Katavi.
Tukio hilo limetokea baada ya gari lao kutumbukia Mto Koga wakati wakijaribu kuvuka daraja la mto huo.
Nimeiona hii clip fb, jamaa wamekufa huku wanajiona, ogopeni maji wadau, walikuwa kwenye landcruiser pick up
Yeye kapona? I mean kasalimika?r.i.p waliobebwa kwenye pick upo dereva fala sana