Mr Bean.
Senior Member
- Jan 25, 2015
- 185
- 128
Mtu mmoja anesadikika ni gaidi amefanya mauaji ya kihistoria katka Club moja ya usiku ya huko Orlando US. Inasemekana club hiyo ni ya mashoga.(GAY NIGHT CLUB) watu 50 tayari wameripotiwa kufariki. Muuaji ametambuliwa kwa jina la Omar Saddiqui Mateen. ni mzaliwa wa US wazazi wake ni wahamiaji toka Afghanistan.