Harmonize wa Jf
Member
- Jan 6, 2022
- 56
- 336
Raia wawili wenye silaha wanaodaiwa kuwa wametoka Palestina wamewapiga Risasi watu 23 raia wa Israel apo Jana usiku kati kati ya mji mkuu wa Israel Tel Aviv.
Vyombo vya habari vya Israel vimethibitisha.
Wakati huo huo Iran imerusha makombora aina ya ballastic yapatayo 300 leo usiku kama kujibu kisasi cha kuuawa kwa Kamanda Mkuu wa Hezbollah Hassan Nasralaah hapo juzi.
Jijini Tel Aviv ving'ora vimesikika huku taaruki ikiwa imetanda. Iran pia imetishia kujibu kwa vikali iwapo Israel itajibu mashambulizi yake ya leo ya makombora ya ballastic.