Watu 19 wauwawa kwenye mlipuko Manchester Uingereza

Ukiwa kweny imani fulan usiwalazimishe watu wengine kuwa ktk iman km yako.
MKIITWA MAGAIDI UTAKASIRIKA? Ndiyo maana hii imani huwa naona ni sawa na ugaidi tu. Ukitaja ugaidi ni sawa na imani yako.
Kilichokufurahisha nn?
Inabidi uwe na uwezo mkubwa wa kuelewa watu wa humu jf. Huyu amefanya makusudi kuuchafua uislam hapo, na wala sio muislam. Jitahidi kufahamu watu na hulka zao humu jf
 
Hakuna dini inaamrisha ugaidi waongo sana kuunasibisha ugaidi na uislam.ila chuki zao hazitazaa matunda bali zitazidisha chuki na chuki haijengi bali inabomoa
 
miezi yote kwa mungu ni sawa hamna mwezi mtukufu wala mwezi mtakatifu hiyo imani yenu ya shetani ibilisi ni ya ubaguzi tu
Unamjibu mchungaji wako tumia akili aliye andika hapo ni bashite siyo vizuri kuuwa watu iwe kwa kutumia mandege ya kivita kama marekani afanyavyo na washirika wake au mabomu ya kuvizia kama magaidi !!!
 
Siyo dhulma za magharibi bali ni matatizo ya waarabu wenyewe.Kwani walioandamana Libya kumng'oa Gadafi walikuwa ni watu wa magharibi?

Hao ni wale wakimbizi wanaopewa hifadhi then wanataka kuchafua nchi za watu kama walivyochafua za kwao.
acha nawao waingereza wahisi machungu yakuwapoteza vipenzivyao (wazazi, marafiki,ndugu,wake,/mume nawatotowao) kwaninao pia wanayafanya makubwa ktk nchi zawatu wanauwa watu wasiyonaatiya km Iraq syriya muungano wamajeshi yamsaraba yakiongozwa naamerka
 
Hawa waarabu bwana sijui wana akili gani tu.
Waraab hawana tatizo wao wameanza coz wamechokozwa wanalipa kisasi chamauwaji yakinyama yanayofanywa nahao wabritish. Km wewe nimtu mwema unelaani kwanza mashambulizi yamajeshi yamsalaba(NATO) yanayoongozwa namarekani huwangalii TV kila siku wanauliwa namashambulio kutoka angani. Au ililaleo kwako ndio limekugusa kwasababu waliokuwa niwadiniyako???
 
Back
Top Bottom