Watu 12 wafa kwenye vita vya kuku

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
9,634
15,121
Kwanini ulevi wa aina yoyote ile umetajwa kuw ni haramu ni kwa vile unasababisha majanga makubwa kwa watu waiso na hatia.Mtume saw kasema ulevi na mama wa maasi.

Watu 12 huko Ecuador wamepigwa risasi na kufa wakati wakishuhudia vita vya kuku.

Seriakali ya nchi hiyo imeshawakamata watuhumiwa kadhaa ikitaja kuwa wahusika wa makundi yanayojihusisha na biashara ya coacaine ambao walikuwa wakiwavizia wenzao waliohisi walikuwa miongoni mwa washabiki wa mchezo huo.
1745130936106.png

Arrests after 12 shot dead at Ecuador cockfight

View attachment 3309999

Arrests after 12 shot dead at Ecuador cockfight

Kwahiyo ile mito ya pombe kule mbinguni Allah aliyoweka kachemka
 
Ulevi huko kwa wale walishuti risasi kwa waliokuwa wanaangalia pambano la hao kuku,madawa yakulevya yamewafanya washindwe kufik
.
i vyema,wakasababisha vifo kwa watu wasio na hatia.

Pombe hiyo ya kwenye mito,haitakuwa kama hii ya duniani,inayomfanya mnywaji ajikojolee,alale kwenye ubaraza wa jirani yake hadi kucha,aondokewe akili nk nk.
Ushaiita pombe ni kilevi mzee. Allah wenu anawaingiza chaka. Ni kama ile ishu ya Mabikira. Uzinzi uzinz tu nothing more.
 
Ndio nasema kama huyo Allah wenu kawaandalia ulevi na ngono then huyo sio Mungu ni binadamu kama wewe.
Hivyo vitu vi vizuri sana ndio maana kila mtu anavipenda duniani.
Ubaya wake ni namna ilivyokatazwa na namna ya kuvitumia.
hiyo ngono fanya kwa wake zako hata 4 basi na ulevi hapa duniani usionje kabisa utapata mzuri kuliko huo
Sasa wewe ubaya umeuona wapi
 
Kwahiyo hata pombe nikinywa kama cfanyi mambo ya hovyo hakuna shida pombe ni halali sio
 
Imeharamishwa tu hata kama utasema ni nzuri kwako au utakunywa halafu utalala tu bila kupiga hata kelele.
 
Back
Top Bottom