Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,115
Wangelipelekwa "madrasa" kujifunza utu !!!!!Ndio yeye huyo. Dogo huwa ni kiburi sana na dharau za kutosha
Aisee ni familia mbili tofauti yaani mbingu na ardhi
Labda ingewasaidia kiasiWangelipelekwa "madrasa" kujifunza utu !!!!!
Aisee ni familia mbili tofauti yaani mbingu na ardhi
Naona mitoto imenonaaa! Afu size ya watoto wangu tuuuMkuu duh aise umenivunja mbavu ndo maana kuna tezi dume
Atakuwa alitumwa na chama na serikaliMkuu si hakuna wa kumkemea na huenda alitumwa na chama kusema hayo aliyoyasema
Maana kama mazungumzo ya wazazi kwenye dinning table ni hayo unategemea nini kwa watoto
Mkuu, Siyo kiasi tu, Wangelikuwa watu wa watu na kupandishwa ukuu !!Labda ingewasaidia kiasi
Huku akihakikisha fikra za mwenyekiti wa chama zinadumuAtakuwa alitumwa na chama na serikali
Ila bado hawajachelewaMkuu, Siyo kiasi tu, Wangelikuwa watu wa watu na kupandishwa ukuu !!
hahahaha mkuu umeongea kama utani lakini ni ukweli uliotukukaAnajitahidi, hapo kazi BoT mtazisikia tu hadi waishe hao.
baba wa taifa hakuwajengea watoto misingi mizuri ya kimaisha,Safari_ni_Safari hebu angalia tofauti ya hiyo familia ya Nyerere na hii ya jamaa
Kivipi? Maana tulienda nao shule zilezile na baba yao hakuiba hata sentanobaba wa taifa hakuwajengea watoto misingi mizuri ya kimaisha,
Mwenye nacho ataongezewa.Naona mitoto imenonaaa! Afu size ya watoto wangu tuuu