Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,689
- 23,017
Hii ya kutrack simu ni very easy inaitwa Triangulation, inawapa exact locations up to within metres as long as simu iko on...
Ok sawa mkuu.
Hio Triangulation kama nafahamu uzuri ni pale panapokuwa na masts tatu kwa pamoja na mwenye simu akawekwa katikati na hio inakuwa easy kuipata simu.
Nafikiri pia accuracy itavary kutegemea na namba ya masts zilizopo. Kwa mfano ukiwa katikati ya Jiji la Dar kwa mfano, kama kuna masts za kutosha unaweza ku-track simu kwa zaidi ya mita 100 na kama eneo lina masts chache basi uwezo wa ku-track hupungua hata kufikia kilomita 10.
Nna imani huko siku za usoni kutakuwepo services hizi na watu wanaweza kuona namba za mikoani usoni pa mobile zao kama upo Arusha unaona namba yake na zingine.