Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 26,827
- 64,718
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hapa kûna terminologies(istilahi) kadhaa Ambazo sharti nizitolee maelezo Kabla sijaendelea mbele kwèñye hili àndiko. Istilahi hizô NI kama Ifuatavyo:
1. NDOA
2. Mtoto wa nje ya Ndoa
3. HAKI
4. Urithi
5. Watoto wa ndàni ya Ndoa.
6. Mali
Ndoa ni Makubaliano baina ya Mwanamke na Mwanaume kuwa pàmoja na kushirikiana kimwili, kiroho, Kiakili, na kihisia. Makubaliano haya lazima yalenge kujenga Familia. Msingi Mkûu WA makubaliano haya huwa ni Upendo
Mtoto wa nje ya Ndoa ni Mtoto yeyote anayepatikana nje ya makubaliano ya Ndoa. Yàani Mtoto àmbaye hakuzaliwa Kwa makubaliano ya Wazazi wake(Mwanaume na Mwanamke) weñye lengo la kutaka kuishi pàmoja. Msingi Mkûu wa kupatikana Mtoto huyu huwa ni TAMAA.
HAKI ni kitu, Jambo, Hali, Matokeo, wajibu, jukumu, Malipo stahiki anayostahili Mhusika, mhusika anaweza kuwa Mtu, binadamu, mnyama, kiumbe, mîungu au MUNGU.
Urithi ni Haki ya kiasili àmbayo mhusika huachia kizazi chake wakiwemo na wale ambao alishirikiana nao kuleta kizazi hiko wakiwa chini ya Mkataba maalumu. Mfano katika Mkataba WA Ndoa Mke anayohaki ya Kurithi Mali za Mumewe Ikiwa bado yupo kwèñye ndoa.
Michepuko, mahawara, Malaya na makahaba Hawana Haki ya Urithi Kwa sababu hawakuhusika kujenga Familia n kizazi cha Mhusika. Ila wanahaki ya kupewa zawadi Kwa mhusika kipindi akiwa Hai. Watoto wa ndàni ya NDOA ni Mtoto yeyote anayepatikana kwèñye makubaliano ya Ndoa.
Mwanaume ameoa Mke, akazaa Watoto Tuseme wawili, Kisha Kwa Bahati mbaya Mwanamke akafariki, Yule Mwanaume ikatokea akaoa tena Mke Mwingine, akazaa Watoto Wengine Watatu jumla Watoto watano. Hao Watoto watano wote ni Watoto WA Ndoa na wôte wanahaki Sawa lakini kama kûna Mtoto mmoja WA NJE ya Ndoa na kufanya Usafi kuwa sita. Mtoto WA NJE ya Ndoa hatakuwa na HAKI Sawa na Mtoto wa Ndàni ya NDOA.
Yeye atapewa zawadi na Urithi Kwa Mali zozote zilizopatikana Kabla ya Ndoa na Ikiwa Mali hizô hazipo. Basi hatakuwa na Haki ya kupewa Urithi.
Mali ni Yale yôte yaliyozaliwa au yatakayozalishwa na Mhusika. Ikiwemo Mali zinazoshikika na zile zisizoshikika.
Ikiwa Mke atamlazimisha Mumewe au atamchukua Mwanamke mwenzake na kumtaka azae na Mumewe Kisha akazaa Mtoto.
Mtoto huyo atachukuliwa kama Mtoto wa Ndàni ya NDOA Kwa Jina la Mke aliyetaka Jambo Hilo. Ikiwa Mtoto baàda ya kukua akamkana mama(Mke) au huyo Mwanamke aliyeombwa azae na Mwanaume(Mumewe WA mwenzie) baadaye akaasi na kumtaka Mtoto au akataka kuvunja Ndoa Kwa njia au hila yoyote Ile. Mtoto huyo atageuka na kuwa Mtoto WA NJE ya Ndoa na hatakuwa na Haki ya Kurithi Mali za Baba yake alizochuma Baàda ya Ndoa.
Ikiwa Mwanaume ametafuta Pesa pekeake Kabla hajaoa, akapata Mali na utajiri mwingi. Kisha akaoa na kupata Watoto, Kisha akazaa Watoto Wengine Watoto WA NJE. Mwanaume huyo atakuwa na haki ya kugawa Urithi Kwa namna apenavyo. Hasa zile Mali zote alizochuma yeye pekeake.
Lakini Mali zozote walizochuma Wakati WA Ndoa zitakuwa Urithi halali Kwa Watoto wa ndàni ya Ndoa.
Hivyo ndîvyo Watibeli tunavyofanya mambo yetu.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam