Watoto wa mgombea Ubunge Eldoret-Kenya watekwa na kuuawa Kenya

Afrika ni tatizo tena tatizo kubwa.Watu wanalazimisha kudumu ama kuingia madarakani kwa gharama yoyote hususani kumwaga damu.Hili ni tatizo kubwa.
Ni heri chama kikawa hai lakini raia ktk nchi wakafa ili kunusuru ama kudumisha uhai wa chama.
Ni mengi yafanywayo na watu yaliyo ya kutisha ili kuwapatia watu umaarufu na pesa ama kuweza kudhalilisha wengine wakidhani hayatakuwa wazi.
Mungu mwenye nguvu anayaona yote na atatoa adhabu kwa wakati wake.Wakenya kuweni wamoja daima,hiyo damu ya hao watoto itawaaibisha wahusika.
Nahisi zaweza kuwa njama za kumchafua UK ikiwa ni sawa basi Mungu atampigania kwa miujiza mingi.
 
Wana kosa gan hao watoto jaman ? Mwanasiasa wa Afrika kuurithi ufalme wa mbingu ni ngumu sana
 
Hukumbuki yale ya USA river ARUSHA, geita, nk? Kuna wanasiasa makatili na waovu kuliko shetani !
 
Mambo ya kikatili sana haya. Aliyefanya hiki kitendo akipatikana apewe kifo cha poplepole tena kichungu. Ila nashangaa na comment za wenzetu wengine humu. Hata wakati wa uzuni mtaleta ushindani na uzushi tu.
 
Watoto 3 wa mgombea ubunge huko Eldoret Kenya ambao walikuwa wamepotea wamekutwa wameuawa na maiti zao kutupwa kwenye mto Nzoia. Watoto hao walipotea toka jumamosi iliyopita wakati wakitoka kanisani (Eldovil SDA Church).
View attachment 511486
Mgombea huyo ambaye watoto wake wameuawa anaitwa jina James Ratemo wa Jubilee.
Na mgombea Udiwani huko Machakos Thomas Minito amekutwa ameuawa na maiti take kutupwa Athi River huko machakos.
The police are holding a suspect who happens to be the kids uncle...sad and if proven that he committed these heinous acts,he too should die by being decapitated
 
Back
Top Bottom