bahati30
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,625
- 883
Ilikuwa ni vacation kwa sababu ulimkula mke wa mtu? umepotea ndugu yangu na nikuhakikishie kwa hizo mbwembwe ulizofanya nenda kapime afya yako haraka sana kabla hujaanza kukohoa kama mbuzi mzee.Nilivyopata likizo mwezi April nikaamua nirudi nyumbani kwa wazazi kuila likizo yangu huku nikiwa namuuguza dingi maana ni zaidi ya miaka 4 nipo mkoani kikazi.
Mitaa ya home kumebadilika sana, vijana wote tuliokuwa pamoja na kusoma nao wote wamekuwa watu wazima wengi wana familia zao wachache bado.
Kilichonishangaza zaidi ni hili kundi jipya la vibinti under 20 ambao wapo wengi sana na kazi yao kubwa ni kugawa uroda bila kujali anampa nani, mwanzoni nilikuwa sijastuka maana nikaona ichi kitonga na likizo yangu inanoga kwa jinsi ninavyowagonga, pia nikajua labda wanashoboka kisa nimekuja na vihela vyangu na kuwalingishia gari.
Nimekuja kugundua kumbe wanashindana kupanga wanaume maana hata pesa yenyewe wanaomba eti buku ikizidi elfu 5, nikaona sio sawa labda I'm too old for these teenage girls issue's.
Nikakutana na my ex ambaye tayari ameshaolewa, we drunk making stories na kukumbushiana mambo mengi of coz nilipasha kiporo ndipo na yeye aliponiambia tabia mpya iliyoibuka ya watu kupeana uroda mtaani bila kujali na aliniadithia visa vingi sana.
Haloo likizo yangu ilikuwa more than a vacation