Watoto wa 2012 tiyari wameanza kuingia sokoni?

Bolotoba

JF-Expert Member
Apr 24, 2024
2,644
6,092
Siku zinaenda kasi! Vijana wa 1990-1993 mwanzoni nao tiyari wameanza kukuza!
👉Kimsingi Nimejifunza kitu kikubwa kutoka kwa msanii shetta
☑️Asije akatokea mtu akasema elimu ya Tanzania aina umuhimu
☑️Uhuni wa mzazi hauwezi kuathiri tabia za mtoto kama utaweza kuweka mipaka vizuri
☑️Katika machaguzi ya shule uiangalie tu kisa ni medium school angalia pia ni watu wa Aina gan wanapeleka watoto mahali hapo
☑️Ata kama baba huna dini, ni vyema sana kumkadhania mtoto angalau awe na hofu ya Mungu

Sheta amezaliwa mwaka 1990 mtoto wake Huyu amezaliwa 2012(13 of age) Ni kiongozi Chipukizi CCM kitaifa
Hongera sana kwake shetta
 

Attachments

  • Screenshot_20250122_150755.jpg
    313.3 KB · Views: 2
Kuna classmates wangu wa primary na sekondary sasa wana wajukuu, wanaitwa babu na bibi. Mi naweza kuoa hao watoto nikawa mkwe wao. Nimeshangaa sana wamekuza harakaharaka. Kuna mmoja alimnadi binti yake kwangu nimuoe nikamuambia hutaniheshimu kama mkwe kwa kuwa unanijua vema utoto na ujana wangu shuleni
 
☑️Katika machaguzi ya shule uiangalie tu kisa ni medium school angalia pia ni watu wa Aina gan wanapeleka watoto mahali hapo#

Mkuu hapo ndiyo utawafanya watu wakope kausha damu kupeleka watoto Em's....
 
La Saba umemaliza mwaka Gani mkuu? Mimi la Saba mwaka 98 mama mkwe wangu kazaliwa mwaka 1991
 
Ndio maana siku hizi nikikutana na wadada wenye 30+ huwa nawaheshimu Sana wanaweza kuwa wakwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…