- Thread starter
- #21
Bosi wangu Fanya milion moja kamili, tuma na hela ya usafiri. nikuwekee mzigo kwenye dar express unaipata siku hio hio.Niko Arusha na ninahitaji genuine Honda water pump hiyo bei ni final?
Bosi wangu Fanya milion moja kamili, tuma na hela ya usafiri. nikuwekee mzigo kwenye dar express unaipata siku hio hio.Niko Arusha na ninahitaji genuine Honda water pump hiyo bei ni final?
Embu tupe specification za hiyo pump mkuu..
Ina weza kusukuma maji kwa umbali gani?
Mipira ya kuvutia maji mnauzaje? Inayo fiti kwenye hiyo pump.
Generator ni za petrol zote au hiyo kubwa ni Diesel?
Bei tulizoweka ni za kawaida.Mkuu unahisi bei zako ni nafuu kuliko maduka mengine?
Hio sio Tatizo, water pump na generator zetu zina perform vizuri sana na zinadumu muda mrefu. isitoshe bidhaa hizi tumekuwa tukiuza kwa miaka mingi na tumeuza kwa wadau wetu wa serikalini na maeneo mengi na mpaka sasa zinatambulika na wadau wengi.Tatizo ni za kichina