Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 299,640
- 752,059
Kama sio hilo jeneza unaweza kudhani ni shereheMarehemu apumzike kwa amani...kumbe haya mambo ya kuvaa mawani mikubwa misibani bongo movie waliiga ulaya.?
Kama sio hilo jeneza unaweza kudhani ni shereheMarehemu apumzike kwa amani...kumbe haya mambo ya kuvaa mawani mikubwa misibani bongo movie waliiga ulaya.?
Huyu anaitwa Andrew sanga sio huyo comedianSenga !!! Ndio nani na anatokea mkoa gani huko Tanzania.
Hata marehem Naona kavalishwa mawaniMarehemu apumzike kwa amani...kumbe haya mambo ya kuvaa mawani mikubwa misibani bongo movie waliiga ulaya.?
Kuna desturi ya kuvalisha maiti nguo na vitu alivyokuwa anapenda, Bibi yangu alizkwa kaburi na jembe lake kwa kuwa alikuwa anapenda sana kulima hata kama naumwa, akipata nafuu tu mnamwona na kijenmbe chake kwenda kwenye bustani yake ya mboga !!!Hata marehem Naona kavalishwa mawani
Mkuu, kumbuka mtoto aliyezaliwa USA na anaishi huko huko sio sawa na mtoto wa Makete.Jamani sio siri,yaani siku yangu mbaya mno,najuta hata kuangalia picha hizi.
It pains,it pains sana kwa watoto,yaani na feel pain kwenye moyo hali ya juu.
Watoto wananinyong`onyeza sana kuruhusiwa kwa style hiyo kwa umri wao,Kila nikikaa moyo unapiga kwa kustuka sana juu ya watoto hao kisaikolojia,ni mbaya kupita maelezo.
Mungu nisamehe,ila siku zote napenda kusema kwamba Africa bado Tuna Mungu aisee na anatupenda saana.
Mlioko Ulaya mtambue kwamba Mungu ni yule yule koo zenu zinae huku Tanzania,Dua na maombi muhim kwa Mfiwa ni dua zenu kwake na sio kushindana Make ups.Mawigi,miwani za bei mbaya na kuwa kama vile ni meeting lounge na sio msiba.
Kuna mwanangu hapa mkubwa kiasi wa 12 yrs ameniona naangalia,basi huwezi amini ameganda,namuon akabisaa kama amesizi vile,yupo kwenye tv lakini namuhisi anaumia kweli hali ile.Ila hawezi kusema nini kimemuumiza.
Na ukitaka kulipima hili,ita mwanao umuonyeshe picha then in 15 minutes baada ya kuiona utaniambia anavyohisi.
Mungu ametuambia hata kama nyumba haina chakula,basi wale watoto basi uwadanganye hata kwa kuandaa Jiko,ili wajue muda wowote chakula kinapikwa.Na sio kuwaambia jamani kalaleni leo hakuna kula,sasa ndio sawa na hao watoto
Halafu wote wa manjano Sioni mweusi hata mmoja au ndio yale maji?Utafikiri hawajafiwa, yaani kweli Senga anatisha. Au wanaigiza?
Au ndio hayo mapesa walikuwa wanakusanya walipoyapata wakaingia sauni kupigwa masopusopu ya nguvu kabla hawajashuka Bongoland!Halafu wote wa manjano Sioni mweusi hata mmoja au ndio yale maji?
Lazima itakuwa hivyoAu ndio hayo mapesa walikuwa wanakusanya walipoyapata wakaingia sauni kupigwa masopusopu ya nguvu kabla hawajashuka Bongoland!
Mkuu maji ya ulaya noma yaan nna mwana alikua mweusi tii yupo houston nimekuja kumuona juzikati khaa yaan balaa, asee mwwmbie Barbarosa ni Senga au Sanga maana nataka niwastue wasanii wenzake waandae mawani hawajui kama Senga kafaHalafu wote wa manjano Sioni mweusi hata mmoja au ndio yale maji?
Mkuu we muislamu?Mi kimeniumiza saana kitu cha kuwaweka watoto kwenda Kuuaga mwili wa marehem kwa style ile ya live.
Ni hatari saana kisaikolojia ile,at least wawe at age of 15 - 18.
Hatari,hatari,hatari saana kwa watoto
Marehemu apumzike kwa amani...kumbe haya mambo ya kuvaa mawani mikubwa misibani bongo movie waliiga ulaya.?
Watu wamejiremba kama wanaenda kwenye starehe! Mambo mengine ya kuiga yanatudharaulisha sana. Jinsi walivyokuwa wanahimiza michango ni tofauti na kinachofanyika nausikute huku Bongo waombolezaji wanashindia maharagwe wakimsubiri marehemu. Kumbe huko majuu ni ...................Huku kwetu uende msibani umevalia hivyo watu wataacha kulia na kukushangaa wewe..
Marehemu mwenyewe kapiga miwani jenezani!.RIP Sanga.Marehemu apumzike kwa amani...kumbe haya mambo ya kuvaa mawani mikubwa misibani bongo movie waliiga ulaya.?
Tanzania aka Tizii baby!USA baby.....