Watanzania wapo kwenye 3 bora ya nchi za kijanja Afrika

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
1,148
2,815
Afrika na watu wake nawajua sana, ukitaja nchi za watu wajanja wenye akili Afrika hauwezi kuicha TZ.

Katika rank mpangilio unaanza na Nigeria, SA halafu TZ inafuatia. Tupo vizuri kiuchumi, entertainment na maeneo mengine mengi nikitaja hapa page hii haitotosha.

Ukitaka utambue ujanja wa wabongo shuka SA uone wanavyosumbua.
 
Ujanja wa kijinga matundu ya choo tu mpk msaada utoke marekani!, elimu bado kubebeshana masomo kibao ujanja gani na treni la umeme tu limekuwa kama likasongo!.
viongozi wanatumia pesa kwenye mambo ya hovyo halafu dawa hospitali unakuta hakuna, maji hakuna.. hamna cha ujanja usitujaze ujinga
 
"ujanja"sijajua unamaanisha nini
Ila kama umemaanisha kuziangalia fursa nje ya tz basi hatupo hata top 20
1.Nigeria
2.Somalia
3.Kongo
4.Kenya
5.Senegalese
6.Ghqna
7.Morrocan
8.Ethiopian
9.Angola
10.Egyptians
 
Hakuna nchi ambayo haina changamoto ,hizo ni changamoto zinazoweza kutatulika kadiri nchi inavyopata mabadiliko ya uongozi
 
Sio kweli bro , we are so smart , nenda China huko utaona wabongo walivyo take over
Tuelimishe jamii yetu maana hata mfano wa SA uliotoa Wala haufai sababu wabongo kule wanasifika kwa wizi na madawa Wala sio professional au biashara
Tuweke nguvu kwenye elimu bado tuna kazi ya kufanya ku restore hiyo dominance ya watz afrika oversease
 
Afrika na watu wake nawajua sana, ukitaja nchi za watu wajanja wenye akili Afrika hauwezi kuicha TZ.

Katika rank mpangilio unaanza na Nigeria, SA halafu TZ inafuatia. Tupo vizuri kiuchumi, entertainment na maeneo mengine mengi nikitaja hapa page hii haitotosha.

Ukitaka utambue ujanja wa wabongo shuka SA uone wanavyosumbua.
Hiyo list iko wapi, au umepanga mwenyewe kichwani?
 
Afrika na watu wake nawajua sana, ukitaja nchi za watu wajanja wenye akili Afrika hauwezi kuicha TZ.

Katika rank mpangilio unaanza na Nigeria, SA halafu TZ inafuatia. Tupo vizuri kiuchumi, entertainment na maeneo mengine mengi nikitaja hapa page hii haitotosha.

Ukitaka utambue ujanja wa wabongo shuka SA uone wanavyosumbua.
🤣🤣🤣 hii Tz ya kina wasira kulamba teuzi wakat wanakaribia kufa au Tz ipi unasema hyo?
 
"ujanja"sijajua unamaanisha nini
Ila kama umemaanisha kuziangalia fursa nje ya tz basi hatupo hata top 20
1.Nigeria
2.Somalia
3.Kongo
4.Kenya
5.Senegalese
6.Ghqna
7.Morrocan
8.Ethiopian
9.Angola
10.Egyptians
Cameroon
Cape Verde
Liberia
Guinea
Mali

Make it to top 15, from my own experience sioni namna ya kuziacha hizo nchi nilizoongeza.
Kwa hustler yoyote aliye ughaibuni nadhani ananielewa.
 
Sikupingi hasa kwa hao Cameroon nimeishi nao jamaa Kila jioni(usiku ni mpira)
 
Pole sana, tz haijafikia wala haiko karibu na SA au nigeria, kuna nchi hapo katikati zimechangamka kuliko hata tz
Nadhani mnaichukulia poa sana TZ , na kwakuwa haya maneno nimezungumza mzawa but trust me we are doing very well in many aspects
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom