Acha mihemko,sukari ni 2800,lkn zaidi ya yote wakulima wa miwa sasa hv wamekuwa na soko la uwakika baada ya viwanda vta ndani kupata faida ya kutosha hasa kutokana na uwakika wa soko la ndani.Sukari imeshuka bei toka 2000/- mpaka 3200/-
Kuna sehemu sukari inauzwa mpaka 4000,kipindi cha nyuma tulikiwa tunanunua sukari sh 2000 kwa kilo basada ya serikali kukurupuka sukari tnanunua zaidi ya 2000Acha mihemko,sukari ni 2800,lkn zaidi ya yote wakulima wa miwa sasa hv wamekuwa na soko la uwakika baada ya viwanda vta ndani kupata faida ya kutosha hasa kutokana na uwakika wa soko la ndani.
Viwanda vyenyewe vnajengwa kwa mdomoHalafu MTU huyo akae ofisini awaze jinsi ya kuleta Tanzania ya viwanda!!! Tumboni kuna maji na uji usio sukari
Tumeambiwa tuzidishe maombi......inawezekana muujiza ukatokea kiwanda cha magari kikadondoka kama mana pale buza au vigwazaViwanda vyenyewe vnajengwa kwa mdomo
Mpaka sasa hakuna hata kiwanda cha kutengeneza toilet paper wala toothstick
Ovaaa
Thubutu Yao,hakuna cha viwanda wala ....nini serikali ya ccm tilalila tu,maneno mengi kuliko vitendoTumeambiwa tuzidishe maombi......inawezekana muujiza ukatokea kiwanda cha magari kikadondoka kama mana pale buza au vigwaza
Mtumishi gani anapewa mshahala baada ya siku tano,hebu acha uongo siku hizi ikifika tarehe 25 tuu mshahara unakiwepo bank..kama ww unachelewa basi labda ni tatizo la bank yako ambapo mshahara unapitia.Tungoje nini?
Watumishi wa umma wanapewa mshahara,baada ya siku tano umeisha!!!
Nyuso zao zimefubaa kama wamepaka majivu
Unapewa tarehe 25,mpaka tarehe 30 mshahara umekwisha!!! Mshahara una thamani ya kreti mbili za biaMtumishi gani anapewa mshahala baada ya siku tano,hebu acha uongo siku hizi ikifika tarehe 25 tuu mshahara unakiwepo bank..kama ww unachelewa basi labda ni tatizo la bank yako ambapo mshahara unapitia.
wakati Mkapa anaingia nilikuwa darasa la 1 ila nilikuwa naelewa ishu nyingi sana,kulikuwa na mipango na usiriaz,huyu ndugu yangu maigizo mengi,anachoongea sio anachoishi.kodi kodi kodi ye mweyewe halipi!mimi rais wa watu wote,anagawa mpaka vyeo vya kitalaam kwa makada.It's too early to judge kumbuka hata kwa Mkapa tulisota 2 years of hardship ndipo uchumi ukasimama
Mkuu, Sikia majibu watakayokuambiaSerikali ya awamu ya tano imekuwa ikijinasibu kwamba ina kazi ya kutetea wanyonge na masikini wa nchi hii.
Kama taifa hatujapata tafsiri ya hakika ya "mnyonge" pengine masikini tunaweza kuelewa.
Bajeti imepita, maisha yanaendelea, wale wanyonge na masikini mpaka sasa mmeona dalili za unafuu tangu serikali iingie madarakani?
Binafsi ninachokiona ni umasikini mkali kupindukia na uliokosa suluhisho la muda mfupi na mrefu,badala yake tunaambiwa tulizoea hela za bure na hatufanyi Kazi.
Sheria kandamizi za kodi ikiwamo ile ya miamala zinapigilia misumari kwenye umasikini huh kwa kuwa serikali imelenga kuzipata hata elfu mbilimbili za masikini.
Kwa upande wa unyonge ndio haswa,hakuna anqyejua unyonge ni nini mpaka sasa pengine ikiwamo hao wanaotuhubiria.
Ewe maskini na mnyonge, hebu tuambie mwenzetu. Maisha yako sasa yako vizuri, angalau hata dalili?
Unaelewa kazi ya msingi ya wizara ya viwanda ni nini katika suala hili? ama unahisi wizara iko pale kutoa mtaji kwa kila kiwanda? Sasa jiulize hizo pesa za hiyo general tire 60bn zimetoka wizara gani kama kufinance viwanda ni bajeti ya wizara.Wizara ya viwanda ina bajeti ya bilioni 80 halafu gharama ya kufufua general tire arusha bilioni 60,hiyo ndio mipango?