Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,581
- 2,937
Jumuia ya Watanzania waishio UK iliyo chini ya kamapati ya mpito inayoongozwa na Eng Dr Hingira wanapenda kutoa pongezi kwa Balozi Dr Asha Rose Migiro kwa kuchaguliwa kua Balozi wa Tanzania UK.
Pia Watanzania hao waishio UK wanamkaribisha Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika ziara yake ya kwanza nchini Uingereza kama Waziri Mkuu wa Tanzania
Jumia ya watanzania waishio UK kwa sasa iko chini ya kamati ya mpito inayoongozwa na Mwenyekiti wake Eng Dr Julius Hingira na kwa sasa wako kwenye mchakato wa kuwaunganisha watanzania wote wanaoishi Uingiereza bila kubagua dini, kabila wala itikadi
UMOJA NI NGUVU