Watanzania tuunge mkono juhudi za rais za kuleta maendeleo

Siungi mkono kutuharibia nchi yetu hata kidogo...Taifa limepata ajali ua uongozi hakika.
We noma sana,,wewe nadhani ulikuwa na nchi yako "yenu" ya kufikirika na sio hii Tanzania and I hope you were among those who were benefiting from corruption ilokuwepo by then that's y your complaining kwamba kawaharibia nchi but kwa mtanzania mzalendo kama Mimi nchi imeboreshwa na mambo yako vizuri zaidi,,huna jinsi but to wait untill 2025 coz 2020 tutashinda tena kwa kishindo cha Mother of all bombs ya USA
 
Kwani na toka lini ccm ilishinda kihalali hata uchaguzi uliyopita 2015 kama siyo goli la mkono??
Ni vema mkawauliza hata wakuu wenu huku msikia Nape anaungama while is too late confession??
Malipo ni hapa hapa duniani muulize hata mkuu wako wa kaya kama alishinda au la!! Au muulize mkwere na wenzake wanajuuta....
Unachoambiwa changanya na akili zako pia...usikariri ndugu...for sure we have got an accident of the Governance.
 
Kwa yote uliyotaja lipi kinamsaidia mnyomge mnayemtaja saaana aishiye Kakonko,Bashnet Muriet au Kolomije?
Maendeleo ni ya watu sio vitu ndege haimsaidii mnyonge kumudu bei ya sembe iliyofika shs 2500 kwa kg.Wenye biashara ambazo kila kukicha zinafungwa Magomeni Kota zinawasaidia nini?
Idea yake ya 'maendeleo' is so weird
 
Wewe bila shaka si mwajiriwa wa serikali hii, unasema nidhamu imeongezeka kwa watumishi wa umma, lini tumeiongeza, imeongezeka kwa fadhila gani alizotutendea, still tunapokea mshahara wa Kikwete.Nawaonea huruma watumishi wasiokuwa na posho.
Mwisho: SIMUUNGI NA SITAMUUNGA MKONO
 
Elimu bure inamsadia mnyonge,,ndege mpya zitaongeza mapata katika utalii Pesa itaenda kununua madawa,miundo mbinu ya maji ,elimu n.k yote kwa faida ya mtanzania mnyonge,,nidhamu ya watumishi wa umma itamsaidia bibi yangu kule kijijini kupata huduma katika hofisi mbalimbali za serikali pindi anapopata uhitaji huo ,,majengo ya chuo kikuu wataishi watoto wa watanzania wanyonge watakao pata nafasi ya kusoma UDSM,au ww ulidhani yamejengwa kwa ajili ya kufugia ng'ombe?Magomeni quarters watakaa watanzania wanyonge tena bureeeee kwa miaka 5,,,we haya huyaoni unasubiri post za Mange upost ,,,noma sana aiseee
 
Wewe bila shaka si mwajiriwa wa serikali hii, unasema nidhamu imeongezeka kwa watumishi wa umma, lini tumeiongeza, imeongezeka kwa fadhila gani alizotutendea, still tunapokea mshahara wa Kikwete.Nawaonea huruma watumishi wasiokuwa na posho.
Mwisho: SIMUUNGI NA SITAMUUNGA MKONO
Keki ya taifa sio kwa ajili ya kundi moja tu LA wananchi i.e kumbuka kuna mtanzania mwingine Asia mtumushi analipa kodi kupitia makato mbali mbali hata kununua vocha tu,,unapoona kuna ucheleweshaji Wa baadhi maslahi ujue sio makusudi ujue either keki haitoshi kwa wakati huo au kuna taratibu zinafanyika ili iweze kugawiwa kwa usawa kwa kila mtanzania,,,usiwe mwepesi kulaumu chapa kazi kwani kazi ndo kipimo cha utu!!
 
Back
Top Bottom