Mpaka umeweka namba ya simu ili upate uteuzi?endelea na kazi yako ya kujikombaNi wazi kuwa rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kuleta maendeleo kwa watanzania hasa wanyonge,tangu aingie madarakani amefanya mambo mengi mazuri ya kujivunia:Elimu bure,tumenunua ndege zetu mpya,nidhamu ya kazi kwa watumishi wa umma,rushwa imedhibitiwa kwa kiasi kikubwa,ujenzi na uanzishwaji wa viwanda mbambali ,reli ya treni ya umeme,mabweni UDSM,aperments magomeni na mengine mengi.kwa mtanzania mzalendo anaweza yaona haya japo kwa wapinga maendeleo hawaoni wao kazi yao ni kutoa dosari na maneno ya kuvunja moyo ili serikali ionekane haifanyi chochote ,naomba watanzania wazalendo tuwapuuze hao kwani hawana nia njema na nchi yetu.Wengine wako nje ya nchi kazi yao ni kuweka post za kutugombanisha then wanakaa pembeni wanatucheka tunapogombana na kupoteza focus ya kufanya kazi za kuiletea nchi yetu maendeleo.Nawaaza watanzania wenzangu tutumie akili zetu kabla hatuja share post mitandao tuangalie je content ya hiyo post ina maslahi gani kwa taifa?
Mungu ibariki Tanzania na mpe maisha marefu rais wetu mpendwa JPM
Wasalaam titus john :0712207633
Sio kila anaeongea au kuandika vitu chanya juu ya nchi yake anataka uteuzi mkuu. Tafuta excuse nyingineMpaka umeweka namba ya simu ili upate uteuzi?endelea na kazi yako ya kujikomba
Fanyeni kazi wacheni kitegemea kupewa vya bureeeeeeeSio kila anaeongea au kuandika vitu chanya juu ya nchi yake anataka uteuzi mkuu. Tafuta excuse nyingine
Basi anapo Fanya tunapaswa Ku appreciate I mean tuzitambue hizo juhudi ili tumtie moyo Wa kufanya vizuri zaidi.Ni wajibu Wa rais kuleta maendeleo kwa wananchi lakini kumbuka sio marais wote wanatimiza wajibu wao ipasavyo,hivyo tunapo mpata rais ambae amejitoa kuwaletea maendeleo watu wake kwa asilimia 100% hatunabudi kumpa ushirikiano Wa kutosha kwa kufanya kazi kwa bidii na kuwapuuza wapotoshaji popote walipo iwe ndani au nje ya nchiNani kamzuia kuleta maendeleo?niwajibu wake kufanya hayo yote maana tunamlipa mshahara mnono na aliapa kiapo
Hahahaha well saidWe utakuwa mrundi hata kiswahili shida
Viva JPM milele yoteViva Magufuli vivaaa
Ni wazi kuwa rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kuleta maendeleo kwa watanzania hasa wanyonge. Tangu aingie madarakani amefanya mambo mengi mazuri ya kujivunia kama [HASHTAG]#Elimu[/HASHTAG] bure, tumenunua ndege zetu mpya, nidhamu ya kazi kwa watumishi wa umma, rushwa imedhibitiwa kwa kiasi kikubwa, ujenzi na uanzishwaji wa viwanda mbambali, reli ya treni ya umeme, mabweni UDSM, apartments Magomeni na mengine mengi.
Kwa mtanzania mzalendo anaweza yaona haya japo kwa wapinga maendeleo hawaoni wao kazi yao ni kutoa dosari na maneno ya kuvunja moyo ili serikali ionekane haifanyi chochote. Naomba watanzania wazalendo tuwapuuze hao kwani hawana nia njema na nchi yetu. Wengine wako nje ya nchi kazi yao ni kuweka post za kutugombanisha then wanakaa pembeni wanatucheka tunapogombana na kupoteza focus ya kufanya kazi za kuiletea nchi yetu maendeleo.
Nawaasa watanzania wenzangu tutumie akili zetu kabla hatujashare post mitandaoni tuangalie je content ya hiyo post ina maslahi gani kwa taifa?
Mungu ibariki Tanzania na mpe maisha marefu rais wetu mpendwa Magufuli.
Wasalaam
Kwani mbowe ndo reference I mean kitabu cha rejea? Akikwambia kitu we unafuata tu bila kujiuliza? Bandarini pameboreshwa na mianya ya ukwepaji kodi na rushwa imezibwa,,,CHADEMA TUNAPINGA SANA HOJA YAKO.HIVI UNAJUA MAGUFURI ALIVYOATHIRI SUPPORTERS WETU WAFANYABIASHARA JIJINI N ABANDALINI??TUTATAHIKIKISHA HAPATI KURA NA SUPPORT YA KUTOSHA KAMA MBOWE ANAVYOTUELEKEZA