D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,193
- 3,325
Bitcoin is a decentralized digital currency, it is not backed by any single country or bank and is usable anywhere in the world by anyone with a computer or smartphone and access to the Internet. To read up more on what Bitcoin is you can take a look at these websites.Hivi hawa watu inamaana maswali yao hayajaonekana
alafu naona kama vile mtoa mada anaendelea tu kulisongesha sasa sijajua ni kwamba hataki wajue siri ya jinsi ya kumake money ama
Bitcoin moja asubuhi hii imefika Tsh: 9,748,628.39 kwa maana ya 4354.01 US Dollar
bestchange.com check hapohalafu anayejua jinsi ya kuhamishia kwenye PayPal account anielekeze please
thanksbestchange.com check hapo
Bitcoin is not a pyramid scheme. Its digital money. Kila fursa nyie mwasema pyramid. Fanya research. Jiridhishe.Hebu nipeni hayo maneno, ila nkiskia pyramid tu hua moyo unaenda mbiyo maana africa tunalaliwa sana na haya mavitu tena tunadanganywa kweli wakati unakuta ni biashara mfu kwa nchi zilizoendelea au waanzilishi, ikibuma ndo wanaleta huku wanakula kula tena
Majirani washatupita mda tu mbonaTusingoje hadi jirani zetu ndio waje watuingize huko.
Si vibaya ukimiliki Bitcoin hata 2 maana inazidi kupaa. Juzi nimeona Waziri wa Sweeden Mathias Sundin kajiunga na matumizi haya, pia Raisi Putin alikuwa na brief conversation pamoja na mmiliki wa ethereum Vitalik Buterin kwenye global group of chief executives. Huko Amerika,Uk na kwingine Taasisi za kifedha zimeanza kufanya transaction za bitcoin kwenda kwenye $
Yani na maanisha kutrade iyo kitu by not using real account kwa ajili ya kupata experience zaidFunguka zaidi "demo" ?
halafu anayejua jinsi ya kuhamishia kwenye PayPal account anielekeze please
Bank gani hii hebu itaje jina?Kuna wadau wako kny final touch za intergration na kuna benki imeprove kuweza intergration.So ni jambo la subira kidogo tu.
ni kweli hupati chochote kwani ulitegemea kupata nini weweWizi mtupu, kuna watu wameweka hela yao toka mwaka jana mpaka leo hawajapata chochote, wanalia tu. Wizi wizi wizi !!!
Usisahau elimu yetu ni ya kukariri,kwa hiyo hadi akili iwasogee watoa maamuzi inachukua muda mrefu sana.Bitcoin imepanda sana wiki hii. Leo imefika 2850.01usdView attachment 520367
update: Leo August 13 bicoin imefika $4145
kweli natamani mifumo yetu ingekubali matumizi ya fedha hizi za kimtandao na kusaidia kuepusha kuhamishia fedha zetu za kigeni maana wenzetu nchi jirani tayari wana mifumo inayofanya transactions hizi na kibaya zaidi wameshajipenyeza hapa kwetu wakitumie mifumo ya makampuni ya simu.
Sijui kwa nini taasisi zetu haziko fast kura foot changes km hizi za kiuchumi hadi tuone majirani wamefaidika.
Current update: 08/25/2017 1btc = $4350
View attachment 574674
View attachment 574675
Today Tue: 08/29/2017 1BTC = $4,570.00
Wizi mtupu, kuna watu wameweka hela yao toka mwaka jana mpaka leo hawajapata chochote, wanalia tu. Wizi wizi wizi !!!