Watanzania tuitangulize physics mbele

Hicho cha mtoto Kaka Andrew. Unasemaje kuhusu hili neno (jina la mtaa mmoja huko NZ):

Taumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu

Linahisiwa kuwa jina refu zaidi duniani with 85 letters. Ukitaka kujifunza lugha yao inabidi ujipange kwa urefu wa maneno maana yanakaribiana kwa urefu.

Ref: The World's Longest Place Name
 
Where do we go from here?
Matatizo yetu ni elimu. Tazama topics zilizopo katika physics:

theoretical physics, particle physics, medical physics.thermodynamics ambayo ni muhimu katika viwanda.

Huu ndio mkakati wa CCM bila shaka. Ndio maana walimchagua Magufuli.
mbona zilikuwepo tangu zamani mkuu. Sijui unataka kusema nini
 
Dah! Tafiti (e.g. Distribution of Word Lengths in Various Languages - Ravi Parikh's Website) zinaonesha wastani wa herufi kwa maneno (words) ya Kiingereza ni 8.23. So, hilo neno lenye herufi 189,819 ni wastani wa maneno ya Kiingereza 189,819/8.23 = 23,064.

Dissertations za masters ni wastani wa maneno 3,000. So hilo neno ni equivalent na dissertations 23,064/3000 = 7.7 (8 approx.). Amazing!
 
mi mwenyewe kapa, nafatilia kwa karibu ili tuone wenzake (wapo) watakujaje
Quiz ndogo tu (kama hutanii)
Mwelekeo tulioambiwa na unaosisitizwa kwa sasa unahusu uchumi upi
Kulingana na sensa ya nchi ya hivi karibuni ni kundi gani la umri linaongoza kwa idadi.
Kiwango cha Elimu na maarifa waliyonayo kwa mahitaji ya mwelekeo tunaoelekezwa.
Mkuu piga hiyo quiz kwa undani kabisa halafu rudi umsome Andrew mstari kwa mstari.
 
Ph D ya korosho ndio deal nowadays mkuu! msiwapotezee watoto wenu muda huko vyuoni


Field work ni Mtwara
 
Watu wana vichwa vigumu kweli!! Yaani ni kama uambiwe kuwa Kalamu,kifutio,calculator,kofia na tisheti ni muhimu kwa kilimo cha miwa,na eti Labda hiyo ndiyo sera ya mafundi cherehani! Na ndiyo maana wanaongozwa na karani!!wow!!
 
Andrew labda metaphysics, na aliyepo sio porofesa wa Fizikia bali ni wa Kemia, na anachofanya sasa ni kusafisha nchi kwa kutumia fractional distillation kwa kuichemsha kwa different boiling points kwa sababu kila element inayo latent heat yake ya vaporization, wataokofika mwisho ni pure elements!.

Paskali
Pure logic ya mada!!!
 
Thermodynamics somo pana na muhimu kwenye fani ya engineering
Physics na Chemistry. Subject matter inakubalina kwa kiwango kikubwa fani zote tatu ila kila somo linasisitiza some aspects of thermodynamics. Mfano engineering inasitiza heat engines mfano steam turbines. Physics inajikita zaidi kwenye statistical mechanics.
Hongera mkuu

Hiyo thermodynamics mimi nimeidoma kwenye mechanical engineering. Asikwambie mtu ni balaaaa
 
Nadhani siyo fractional distillation kuisafisha nchi.
Nadhani ulitaka kuandika fractional banking wanayotumia bankers kusafisha mifuko yetu.
Andrew nilichouliza ni thermodynamics ni Fizikia na aliyepo ni mtaalamu wa Kemia wapi na wapi?. Labda Metaphysical.

Paskali
 
Hongera mkuu

Hiyo thermodynamics mimi nimeidoma kwenye mechanical engineering. Asikwambie mtu ni balaaaa

Hiyo thermodynamics mimi nimeidoma kwenye mechanical engineering. Asikwambie mtu ni balaaaa[/QUOTE]
Mwanzo mwanzo thermodynamics pasua kichwa hasa concept of entropy. However ukifahamu principles somo ni tamu kweli- steady flow energy equation ,heat engines ,steam turbines,refrigeration cycle, heat pumps, compressors to name few topics.
Fact:a vast majority of third world mechanical engineering students are guilty of copyright infringement - photocopying steam tables!
 
Kumwelewa huyu mtoa mada, kwa uelewa wetu wazee wa kukebehi itachukua muda.... Subiri uzi ujae nyama.
 
Back
Top Bottom