Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

Jamani sorry kwa hilo neno..I wish kama ningeweza kulifuta...nimetafakari baada ya kuliweka...hope wengi mmenielewa na kunisamehe..nilihemka kama maCCM
rafiki tafuta hiyo post yako edit, then utafuta. Usiogope hujamtaja mtu. n
 
Mavazi ya kidini hayapo ila kuna mavazi ya stara na heshima hayo ndo huvaliwa na watu wanaomuogopa MUNGU si wengine bali ni muslim,mfumo kristo una mwisho wake.
Endelea kuota,kama madrasa wanakufunza haya basi umepotokwa shekh.
 
1bbf25fb4d32f6dfe2747a11423a0288.jpg
 
Tanzania tulifanya kosa kubwa sana kurusu huu ufirauni,miaka ya nyuma hakukuwa na upuuzi huu,siku hizi hadi mashuleni,taabu kweli!

Hata mimi kitu hiki kinanishangaza sana!! Shule za,Serikali kwa mfano upande wa wasichana uwezi kujua uniform inayo ruhusiwa ni hipi hasa - ni vurugu tupu.
 
Watembea uchi ndo unawapenda si ndiyo?Ndo maana baadhi ya makanisa wanawake huvaa vinguo vyenye kutamanisha na huishia kutafunana na waumini uchwara ama kutafunwa na mapadre/wachungaji.
Soma vizuri andiko langu harafu unioneshe mahala nimeongelea mavazi/nguo.
 
Back
Top Bottom