WATAALMU WA SOFTWARE PITENI KIDOGO MTOE MSAADA

Wataalamu hebu nisaidieni na mm,laptop yangu ni acer leo nimejaribu kuiwasha ikatoa black screen na maandishi ya mwisho yakisomeka hv "os not found ". Tatizo linaweza kuwa ni Nn? Na make sio ya gharama za matengenezo yake inaweza kuwa kiasi gani kwa tshs?
Window imecorupt au hard disk haisomi
 
Back
Top Bottom