Wataalam wa bajeti za ndoa njooni hapa

Kwa kweli umefanya la maana tatizo ni kwamba ulivyoiandika inachekesha maana hapa ni kicheko tu kama tuko 8 hapa ndani kumbe peke Yangu.

Suala la harusi linagarimu fedha nyingi sana na likiisha unaanza kuwachangia waliokuchangia yaani mfumo mbovu sana huu .

Baada ya miaka kadha ndio mnaanza kufikiria maendeleo binafsi
 
Ndoa in raasisi mhimu na nyeti sana naona unaifanyia mzaha au kukejeli baadhi ya tamaduni za watu.pia ndoa no muungano wa hiari kama uliona huna uwezo nalo ungepitezea yanini kuanika hapa?pili mm ni mkristo ila nimelelewa na jamii Islam nilifundishwa kuwa ukiona umeoa mwanamke na hajui kutunza siri za ndani make ujue huna mke.nafikiri kipengere hiki hakimlengi mwanamke tu hata sie wanaume tunapaswa kuwa na staha kwa wake zetu na jamii kwa jumla.samahani kama nitakuwa nimeenda tofauti mdau ila hapo staha kwa wazaa chema ujaonesha.
 
Du kweli yani mwanamke amekua cheap kiasi hicho. Wakati mm niliambiwa nilipe 2 m nikawaambia mm sina. Nikawaambia keshi mfkoni natoa 1 m na sina nyingine wao wakaniambia basi tupe 1.8 nikawaamba sina nina hyo 1m wakaniambia nilipe 1 m. Ila mahari kamili 1.5 m nikawapa na nikawaambia hyo ingine sku nikija nitamaliza. Mpaka leo sijarudi na mke nilimpa mimba ikabidi nilee mimba na mtoto mpaka akajifungua. Sasa nina mpango wa kwenda kumalizia mahari ili nifanye sherehe tu ya kubariki ndoa.
Kaka uko sahihi Mungu akubariki nami nimepitia hivyo
 
Shenzi kabisa eeeeh wasitufanye sisi mtaji wao alaah! Tena kwenye harusi weka pipi na biskuti kwani nink bana pesa ni yako umetafuta mwenyewe wasikupangie
 
Wakuu,

Baada ya mbinde ya miezi kama mitatu hivi ya kubishana na upande wa ukweni kuhusu kipengele cha mahari hadi nikaweka mgomo na kuzila kuwa nimeghairi kuoa kwenyewe,
Hatimaye jana wamekubali kushuka kutoka Milioni 2.5 mpaka 145,000/= ambayo angalau inakaribia laki 1 ambayo nd'o niliipanga kwa upande wangu.

Na nimeshawapiga biti kuwa sitaki wanihusishe kwenye gharama za upuuzi wa sendiofu wala pumba gani.

-----------
Sasa wakuu,
Hapa nataka wataalam wa bajeti wanichanganulie hii elfu 95 yangu niliyobakiwa nayo
ili niweze kukamilisha shughuli ya ndoa.

Angalizo:
Usafiri nishapata Starlet ya mchizi wangu ya kutupakia maharusi,
kaniambia,

"Do not have worry #SENETA_WA_MTWIZ,
I'll offer you for free".

Na kuna jirani yetu hapa kitaa anamiliki Suzuki_Kirikuu na ina turubai- hivyo ndugu watabebwa humo.

Watu wengine watajitegemea usafiri,
Hata wakitembea kwa miguu sio mbaya,
itawasaidia kufanya mazoezi.

Wakuu,
Pigeni bajeti ya gharama zingine tu,

Ila kanzu na barakashia ninavyo,
Na gauni la Bi. Harusi kuna dada'angu atatoa msaada katika hilo.

Na nimewaambia vitu vingine vya kijingakijinga sijui Koti la babu, Shuka ya bibi, Chupi ya shangazi n.k
Sivitaki kabisa!
Kwani siku zote walikuwa wanavaa nini?!?!

HAIWEZEKANI SHUGHULI YA SIKU 1
INIGHARIMU HELA YA KUJUTIA KIPINDI KIREFU!

SHENZI KABISA!!!
Dahhh......
Mkuu, nimeusoma huu uzi nikacheka sana hadi watoto wananishangaa hapa
 
Mie nasubiria ukishaoa tumgawane wote huyo mke maana inaonekana bahili sana nitakula deal tu na wazazi wake anakua anaaga anaenda kwao anakuja kwangu kazi inakuwa kuwawezesha tu wazazi wake.
 
Wakuu,

Baada ya mbinde ya miezi kama mitatu hivi ya kubishana na upande wa ukweni kuhusu kipengele cha mahari hadi nikaweka mgomo na kuzila kuwa nimeghairi kuoa kwenyewe,
Hatimaye jana wamekubali kushuka kutoka Milioni 2.5 mpaka 145,000/= ambayo angalau inakaribia laki 1 ambayo nd'o niliipanga kwa upande wangu.

Na nimeshawapiga biti kuwa sitaki wanihusishe kwenye gharama za upuuzi wa sendiofu wala pumba gani.

-----------
Sasa wakuu,
Hapa nataka wataalam wa bajeti wanichanganulie hii elfu 95 yangu niliyobakiwa nayo
ili niweze kukamilisha shughuli ya ndoa.

Angalizo:
Usafiri nishapata Starlet ya mchizi wangu ya kutupakia maharusi,
kaniambia,

"Do not have worry #SENETA_WA_MTWIZ,
I'll offer you for free".

Na kuna jirani yetu hapa kitaa anamiliki Suzuki_Kirikuu na ina turubai- hivyo ndugu watabebwa humo.

Watu wengine watajitegemea usafiri,
Hata wakitembea kwa miguu sio mbaya,
itawasaidia kufanya mazoezi.

Wakuu,
Pigeni bajeti ya gharama zingine tu,

Ila kanzu na barakashia ninavyo,
Na gauni la Bi. Harusi kuna dada'angu atatoa msaada katika hilo.

Na nimewaambia vitu vingine vya kijingakijinga sijui Koti la babu, Shuka ya bibi, Chupi ya shangazi n.k
Sivitaki kabisa!
Kwani siku zote walikuwa wanavaa nini?!?!

HAIWEZEKANI SHUGHULI YA SIKU 1
INIGHARIMU HELA YA KUJUTIA KIPINDI KIREFU!

SHENZI KABISA!!!
Huyo mwanamke unaetaka kumuoa nae punguani, anawezaje kukubali kuolewa na MTU mbahili kama wewe,
 
Na nimewaambia vitu vingine vya kijingakijinga sijui Koti la babu, Shuka ya bibi, Chupi ya shangazi n.k
Sivitaki kabisa!
Kwani siku zote walikuwa wanavaa nini?
Mi mwenyewe niligoma kutoa blanket za bibi na shuka mpaka Leo wananiona kauzu
 
Back
Top Bottom