Wastaafu walilia mafao yao wajiandaa kuandamana

Ah! NILIFIKIRI SISI TULIOONEWA NA KUPOKONYWA HAKI YETU YA JUMUIA YA AFRIKA YA MASHARIKI YA KUSTAAFU KUMBE MAZALIA YA CCM- WATAISOMA NAMBA NI MBELE KWA MBELE HAPA KAZI TU
Pesa yenyewe ya kampeni ilipigwa na wajanja wachache akina January, mwingulu, kinana na wenzao, pesa zote hazikutumika kwenye kampeni nyingi zimeliwa na wajanja , pesa iliyobaki hazina ni ya kubomolea nyumba za watu huko mabondeni hata pesa ya Hosptal kwa sasa hakuna.
 
Wakimaliza kubomoa nyumba wabomoe na barabara kwakuwa haziko kwenye kiwango
 
Mf
Watz ni wanyonge sana,fedha nachangia kwenye mifuko lakini Mie sikopeshwi anakuja kukopeshwa Manji ambaye hajachangia hata senti tano,wanasema kwamba mfanyakazi anaweza kukopa lkn ukienda unaambiwa ukajiunge na saccos Kisha wao watapeleka Hizo hela saccos yaani ni full usanii ,nashindwa kuelewa Kama kweli tuna viongozi humu nchini maana Hivi vi2 hawavioni?
Mfumo wetu unaruhusu hii hali ndiyo maana ccm wanajifanyia wajuavyo wanachukua pesa Hazina kwa ajili ya kampeni kisha pesa yenyewe inapigwa kijanja sasa hadi wasitaafu wanakosa mafao.
 
Mf

Mfumo wetu unaruhusu hii hali ndiyo maana ccm wanajifanyia wajuavyo wanachukua pesa Hazina kwa ajili ya kampeni kisha pesa yenyewe inapigwa kijanja sasa hadi wasitaafu wanakosa mafao.
Wanatia sana huruma wazee wetu waliotumikia taifa lao kwa mapenzi na nguvu zao zote za ujanani.sasa wameachwa wakiwa na serkali yao.

Magufuli awe tayari kukabidhi nchi 2020
 
Back
Top Bottom