Wassira: Sina hakika kama Magufuli anabana matumizi

Sasa, kama waandishi wa habari wamemfuata NYUMBANI kwake na kuanza kumhoji hayo ulitaka ajibu nini? Walaumu waandishi, wakikosa cha kuandika utawaona hao kwenye milango ya wanasiasa kwenda kufanya interview; Halafu sasa, watakuwa wanapublish kila wiki vipande vipande mpaka iishe! Teh! Kumbuka habari ya Membe, ilidumu mwezi.
Sasa, kama waandishi wa habari wamemfuata NYUMBANI kwake na kuanza kumhoji hayo ulitaka ajibu nini? Walaumu waandishi, wakikosa cha kuandika utawaona hao kwenye milango ya wanasiasa kwenda kufanya interview; Halafu sasa, watakuwa wanapublish kila wiki vipande vipande mpaka iishe! Teh! Kumbuka habari ya Membe, ilidumu mwezi.

Angekuwa muungwana angesema "NO COMMENT" na sio kumkandia Dk.Magufuli.
 
hahahaha mzee baada ya kutoswa katika ufalme wa JPM ameona hakuna namna nyingine n kuanza kukosoa tu,ngoja tuone sarakasi zaidi
 
wanachekesha..baada ya kuona wametoswa kila idara wanakuwa anti-government
 
TEHE! Tehe! Tehe!!! Mzee Wa Bunda Upo!!!?? Tunakumis Mjengoni, Maana Ulikuwa Kivutio Mzee Kwa "KUTAFAKARI HOJA "
 
Aliyekuwa waziri mwandamizi wa serikali kwa awamu nne tofauti za utawala zilizopita tangu awamu ya kwanza Mhe. Steven Wassira ambae pia alitia nia ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM ameibuka na kusema kuwa hana uhakika ikiwa mhe Rais Magufuli anabana matumizi ya serikali kwa kupunguza idadi ya mawaziri kwani ukubwa wa serikali uko palepale.

Chanzo: Mwananchi
Masikini magu,watakupinga hadi ndugu zako
 
uncle ben huyu mzee kwenda nccr kipindi kile kwa taarifa yako alikuwa bado kwenye system wewe ndo uelewi sasa!
Mkuu mimi ni mwananchi wa kawaida kabisa nina haja gani ya kujua kwamba Wasira alienda upinzani akiwa amepandikizwa ili akavuruge NCCR ? Nachojua ni Wasira alipata kwenda upinzani kwa nia gani hiyo hainihusu ,vipi MABERE MARANDO nae ni pandikizi CHADEMA au ???
Na haya nayasema kuweka historia Sahihi kama Wasira leo ataandika Biography yake hata weka hilo la kuhamia upinzani kisa alienda kwa kazi maalumu ??
 
L46B7 watakuja sasahivi hapa na povu la kutosha. Hawachelewi kumuita Wassira fisadi kisa katoa maoni akiwa na akili zake timamu.
Mkuu kuna hii pia G46VJ2015 ,haha kuna mdau alikuja na hiyo
G= Gamba
VJ= VIWAVI JESHI
 
Mtabiri wa CDM kufa kisiasa, akafa yeye! Aende Gombe kwa wenzie, zee ovyo kweli hilo.
 
wanachekesha..baada ya kuona wametoswa kila idara wanakuwa anti-government

Well said mkuu, mawaziri wangapi huwakurudushwa kwenye cabinet ya Dk.Magufuli, wengi tu - uzuri wa wengi wao wamekubali hali alisi wakajitafutia shughuli nyingine za kufanya, kinacho nishangaza mimi kwa nini wengine wanafikiri Uwaziri ni kazi ya kudumu in other words wana hati miliki ya kuwepo kwenye Baraza la Mawaziri miaka nenda rudi!

Kuna haja gani ya kukaribisha watu wa media manyumbani kwa lengo la publicity stunts tu - kama alikuwa na lengo safi la kumshauri Dk.Magufuli kwa nini hakwenda Ikulu akamshauri in camera badala yake tunakuta mlolongo wa CV yake kwenye magazeti ili iweje! Si hilo tu anakwenda mbali zaidi kwa kukosoa idadi ya Wizara za Serikali ya Dk.Magufuli, kasahau kwamba yeye aliwahi kuwa kwenye Serikali yenye Mawaziri karibu sitini - anaweza kutueleza aliwahi kumpa JK ashauri gani kuhusu ukubwa wa idadi za mawaziri na Wizara - alikuwa kimya kabisa,the question is why pick on Dk.Magufuli.

Dk.Magufuli ni mwana sayansi anajua vizuri masuala ya maji/irrigation ndio maana alikuwa anafanya vizuri mpaka wizara ya mifugo na samaki. Wasirra aliwahi kutehuliwa kwenye wizara ya kilimo mara mbili - leo hii ana kitu gani cha kujivunia kuhusu mchango wake kwenye Wizara ya Kilimo.
 
Kapigwa na Esther Bulaya, huyu si Tyson tena. Anatakiwa kuomba mapambano na akina Cheka. Akae Bunda na kuvua samaki, awaache wenzake wafanye kazi. Yeye alikuwa mmoja ya washauri wakuu wa rais aliyepita, na hakuweza kumshauri hata rais kupunguza safari za nje.
Jitahidini kubaki kwenye point jikite kwenye concepts badala ya personel
 
Pia alikuwa mtia nia kwenye ubunge lakini akabwagwa na Ester Bulaya, akakata rufaa bado akabwagwa tena, hana jipya huyo akae kimya

Achaneni na huyu mzee ana stress za kukosa ubunge na sasa anataka asikike kuwa na yeye bado anaishi ili aonewe huruma. Ndugu na watoto wake wamshauri Tyson aende Bunda akacheze na wajukuu kama mwenzie best wake anavyofanya huko Chalinze mzeee!!!
 
Eti wanasema Huyu mzee ndio alikua MAster plan wa sisiem... Lizaboni ni kweli??

Huyu mzee ni mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm na huko huko ndio mwenyekiti wao ametamka hadharani kuwa chama kinamuunga mkono Magufuli jinsi anavyoendesha serikali. Inashangaza kuona hao hao waliokuwa ndani ya mikutano ya kamati kuu wanatoka nje na kukosoa yale ambayo walijadili na kumpongeza Rais!!

Mambo kama haya ndio yananifanya niamii kuwa ndani ya ccm kuna mpango mkakati kabambe wa kuhakikisha kuwa Magufuli hafanikiwi katika jitihada zake za kuwakomboa wananchi kutokana na ufisadi. Kumbukeni kuwa Wassira pia ndio alikuwa mmoja wa washauri wa Kikwete hivyo hapendezwi si tu kule kutokuwa ndani ya cabinet bali pia kuona mambo ya kifisadi waliyokuwa wanatekeleza yanaumbuliwa hadharani.

Kuna kundi la wale disgruntled politicians waliotegemea kuwa kwenye Cabinet na wakaachwa ndio wana plot against all Magufuli initiatives wakiwa na backing ya rais mstaafu Kikwete!
 
Back
Top Bottom