Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,214
Ukimkuta mtu amevaa soksi za Miguu Mkononi au amevaa saa ya mkononi mguuni ...utamchukuliaje mtu huyu!?Inglishi iz not e meshza ofu intelijensi
mzee baba![]()
Ukimkuta mtu amevaa soksi za Miguu Mkononi au amevaa saa ya mkononi mguuni ...utamchukuliaje mtu huyu!?Inglishi iz not e meshza ofu intelijensi
mzee baba![]()
Ukimkuta mtu amevaa soksi za Miguu Mkononi au amevaa saa ya mkononi mguuni ...utamchukuliaje mtu huyu!?![]()
Hata ungejua kiingereza kama huna hela ni kazi bure tu.Acha kutetea ujinga, Kiingereza ni majanga kwa graduates...
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Bora umwambie huyu, kwasababu hajui anachokiongea watu wamesoma technical English ambayo haitumiki mtaani mnatuona hatujui kiingereza. I have two buffer solution. But I want to increase it's molarity. Can you give me that Diaminoethylene tetraacetate I want to titrate with Marble Chip's.Sio kila mtu anaenda kusoma Semantic chuoni bro au English structure au Language morphology na phonology au phonetics.
Hakuna kitu kama hicho unachojaribu kusema... Kwann usiweke matairi ya gari juu, au utembelee mikono!?kila mtu anafanya aonacho sahihi
unataka kumpangia mtu cha kufanya?
kwan lazim uvae saa mkononi
hata kiunoni unavaa tu
Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree,masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi
Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa?
Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni
Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?
Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.
Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?
Huna haja na kujisumbua na lugha za kigeni namna hiyo, hiyo broken english si unamuelewa alimaanisha nini? Historia ya nchi yetu inatosha kukupa majibu ya swali lako. Ndiyo maana leo hii Nigerian hata shule hajaenda ila anatema ung'eng'e Kama trump.Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree,masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi
Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa?
Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni
Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?
Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.
Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?
Hawa ndiyo wale wapumbavu wanaoamin kiingereza ni maarifa, sidhani Kama ana majibu kwa swali lako.Wewe umeshasema ni bonge la engineer, sasa unachohitaji ni uinjinia wake au kiingereza chake....tuanzie hapo kwanza.
Hahahaha can you bufferize that solution. Dissolve one mole of disodium Dodesile okay.Wtf is Fluency English?!! Is this the case of kettle calling pot black??!
I have set a trap for you in which you are trapped.
Is there any African english??, if there is any and in this case you prefer it to American and British English then why condemn the one who started the sentence with; " is you coming------", ----that's an African English so to say.
You have no maral authority to condemn him/her.
Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
Iam a womanInglishi iz not e meshza ofu intelijensi
mzee baba![]()
Watu wanapanic sana hapa ila huo ndo ukweli na unauma.Hivi wanafunzi waliomaliza vyuo vikuu Afrika mashariki ya zamani Tz, Kenya Uganda wakifanyiwa interview ya kufa mtu ili kuajiriwa Watanzania wataajiriwa kweli? Utasikia wanapendelea Kenya na Uganda! Kumbe lugha ya malkia ndio tatizo!
Hayo wameanza kufundishwa tangu vidudu..Ungeanza kuwafundisha watanzania wanao shindwa kutamka au kutofautisha kati ya "R" na "L" ufasaha wa kiswahili tu ni tatizo halafu unatka watamke kiingereza Kwa ufasaha?!
The problem it might be our education system from the beginning for instance back in university all students focus on how no to fail their exams so the principle is simple you just swallow the whole book just to have good grades and avoiding supplementary and all. And thats goes to each and every level of education in this country. Also that's is not our natural born language even those interviewer theire not that much good as they say they are . So how about we both grow a pair of balls and help each other and stop complaining about something which is not ours.Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree, masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi
Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa? Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni
Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?
Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.
Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?
Or just get rid of it.. get better at our Swahili then go ahead and learn something new!?The problem it might be our education system from the beginning for instance back in university all students focus on how no to fail their exams so the principle is simple you just swallow the whole book just to have good grades and avoiding supplementary and all. And thats goes to each and every level of education in this country. Also that's is not our natural born language even those interviewer they not that much good as they say they are. So how about we both grow a pair of balls and help each other and stop complaining about something which is not ours.