Wasomali 90 na Wakenya 2 watimuliwa Marekani

We si muhamiaji haramu hapo Dar es Salaam? Si ingefaa urudi kwenu kijijini kwa maendele ya kijiji chako? Hii dhambi haiwezi ishia hapo, sawasawa na kula kitimoto, ukiisha kula utaendelea tu!
Mkuu haya maelezo yako yanaonesha jinsi gan hili suala linavyokuhusu,

Mimi naishi dar kikazi.
Nipo nchini mwangu (si muhamiaji) ,
Rejea katiba ya nchi, (nina haki ya kuishi popote na kusafiri popote ndani ya mipaka ya nchi yangu)

Note: kufikisha maendelei kijijini kwangu sio lazima niwepo physically. Nina uwezo wa kutuma fedha ,kuchangia mawazo pia.

Tumia akili fupi kabisaa, wewe unatoka nchini kwako, unazamia nchi nyingine, unaishi bila vibali (huu ndio uhamiaji haramu)

Mbona wenye vibali halali hawafukuzwi,

Note my point: iwapo hao jamaa ni wahamiaji haramu ( yaani hawana vibali vya kuishi nchini Marekani) basi marekani ina haki 100% ya kuwafukuza.

Wahimiaji haramu wangapi unasikia kwenyw vyombo vya habari wanarudishwa makwao, ( ila wamekuuma wa USA tu)
 
f43204884b01af009b556bbd2e9c7710.jpg
 
Approximately 90 citizens of Somalia and Kenya have been displaced both from the United States a few hours after reports emerge that President Donald Trump will be faced by people living in the country illegally.

They have all arrived at the international airport in Nairobi Jomo Kenyatta.
Kenya's government spokesman Eric Kiraithe told the BBC that the citizens of Somalia will be flown directly to Mogadishu.

Trump prevent immigrants entering the United States
Mr. Trump said on Wednesday it will be an important day for US security.

He is expected to set strict conditions for the citizens of seven countries in the Middle East and Africa with the largest number of Muslims who seek visas to the United States.

-------------
Raia takriban 90 wa Somalia na wawili wa Kenya wametimuliwa kutoka Marekani saa chache baada ya taarifa kuibuka kwamba Rais Donald Trump atakabiliana na watu wanaoishi nchini humo kinyume cha sheria.

Wote wamewasili katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi.

Msemaji wa serikali ya Kenya Eric Kiraithe ameambia BBC kwamba raia hao wa Somalia watasafirishwa moja kwa moja hadi Mogadishu.

Trump kuwazuia wahamiaji kuingia Marekani
Bw Trump alisema Jumatano itakuwa siku muhimu kwa usalama wa Marekani.

Anatarajiwa kuweka masharti makali kwa raia wa mataifa saba ya Mashariki ya Kati na Afrika yenye idadi kubwa ya Waislamu wanaotafuta viza za kwenda Marekani.
058afd5e51784729eb155c1d6a71f6fa.jpg


Namuunga mkono kwa this. Hakuna raia yeyote duniani awezaye kwenda kuishi nchi ya watu bila proper documentation, hata huko Kenya their police always harass people (foreigners) juu ya passport to see their regality in that (their) country....kwa nini Trump asifanye the same? Sitashangaa some Kenyans kuja hapa kulalamika ubaguzi, they should talk to their police first.
 
Mkuu watu wameshazoea kuishi Kyle huoni kama ni tatizo kurudishwa katika mataifa yao?

Acha warudi bana! Mbona Hitler aliumiza Sana Wayahudi 1930s to 1940s na ndio ikawa chachu ya Wayahudi kushikamana na hatimae kuanzisha Taifa lenye nguvu hadi Leo
 
Back
Top Bottom