Wasikikizeni wasanii wenu ambao raisi kawekeza huko

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
9,564
20,742
Tukisema nchi hii inapoelekea mpaka Mr pimbi naye anaitisha vyombo vya habari kuongea upimbi wake.
Wale tunaowakodisha kusimamia harusi na kucheza kwenye harusi ili limetokea huko naijeria yule aliyekuwa mnunua simu za wizi kinondoni na kuwa msanii na kutoboa kimaisha baada ya ruge kufa anajaribu kuishauri serikali.
 
Rangi gani tena wanazotaka za upinde au
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…