Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,344
Na mkipishana nao njia ndiyo mnageuza shingo..... kuwatizama
Sasa enzi unakua ndio enzi hizi?Upo sahihi mkuu,mimi nakumbuka enzi ninakua ilikua ngumu sana kuona maungo ya mwanamke sababu walikua wanajisitiri sana,na ikitokea siku kwa bahati mbaya umeona hata kirobo paja lazima abdala kichwa asimame yani,ndiyo lazima asimame mana hujazoea kuona hivyo vitu.
Chikira mtabarihaya
bee, labekaChikira mtabari
Ww haupo kwny hlo kundiNgoja waje
Haswaaaaaaa kama umenisoma vizuri lazima utarelate na technology ya leo,na ndicho nilichokua naelezea,sema nimpaka mtu ajiongeze ndo ataweza kuelewa.Sasa enzi unakua ndio enzi hizi?
Enzi unakua maybe hata smartphone hazikuwepo, je mpaka sasa haumiliki smartphone kwakuwa haikuwepo enzi unakuwa?
unafki unafki tu mnajifanya hampendi hzo nguo wake zenu wakivaa madera mbona mnawafata wanaovaa hizo nguo mnazosema za kudhalilishamtu ameshaangukiwa na jiwe hapa
Hapana mimi sipo kabisa kundi hiloWw haupo kwny hlo kundi
Lakin msisme at mmelogwawanafki tu nyie...
Kumbe avatar yako inaongea kitu realtyHapana mimi sipo kabisa kundi hilo
Kuna mtu alisema yeye anapenda mkewe avae hivyo na kwake haionyeshi kutokujiheshimu hata kidogo.Haswaaaaaaa kama umenisoma vizuri lazima utarelate na technology ya leo,na ndicho nilichokua naelezea,sema nimpaka mtu ajiongeze ndo ataweza kuelewa.
By the way kujiheshimu ni juu ya mtu binafsi,lakini hatutaacha kuelimisha watoto zetu kama wazazi
Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.
Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shost, wanaume wenyewe matapeli tu"
We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu.
Utabaki hivyo hivyo, ukija kushituka ushazeeka unaamua kujioa kwa kwenda kuishi na lishikaji tu (sio mume).
Hapo ndo unaishi kwa shida full vilio kwa kuwa na mume asiyeeleweka, wakati wewe mwenyewe ulishindwa kujenga misingi ya kueleweka.
Poleni wote mnaopitia vipindi hivyo hasa mkiwa ndio wasanifu na wajenzi hali hizo.
Bora uitwe mshamba bt umejisitiri ,,,wengi wanawasifia midomoni mkivaa hiyo mikato ila mioyoni wanawang'ong'aaaaamwanamke akivaa manguo makubwa oohdemu lishamba... tukivaa mikato nalo tatizo .. minavaa navyotamani kuvaa hiyo siku