Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
- Thread starter
- #141
Kwa demu wako sawa... lakini mkuu mtu ndio mara ya kwanza kuonana hata denda hujampga afu anakuambia anaomba soda halafu anasisitiza kila mkipga stori anakukumbusha ni sawa kweli?YAANI NISIPOOMBWA PESA NA DEMU WANGU NAJISHUKU VIBAYA IKIPITA WIKI MBILI LAZIMA NIMUITE NIMPE TU ATA ASIPONIAMBIA KUWA ANATAKA HELA,YAANI HAKUNA RAHA HAPA DUNIAN KAMA DEMU WAKO KUKUSIFIA KUWA UNA MJALI PIA MWENYEWE ANAPENDA KUWA ANA BONGE LA BWANA.